hapa marangu ukikajaga sakafu unatamani kuruka kwa baridi loh... mie mume wangu simwachiii kabisa
Tz hamna baridi bana, infwakti sehem kubwa ya africa haina baridi..
unavaa sweta Dar? hayo ni maradhi...
hujawahi kuishi sehemu nyingine tofauti na dar nini!!
nimewahi mikoa mingi kasoro iringa na arusha mbeya
Baridi imenikuta ughaibuni, kuchepuka naogopa, nimebaki nimejikunyata tu!!!!!!!!!!!!
etiiiiii ina maana mimi naumwa eeeeeh
upo kweli? unatania tu..
whaaat! kusex kunapunguza baridi..
nipo marangu
karibu na kilimanjaro tena..
tena saaana miss! Dar ni "car wash" tu...
...hahaa..ningependa sana kuwa daktari wako, lakini je, Excel..?? Nauliza tu ili kama vipi tuanze vipimo asap!!
Hahahaha kunguru muoga eeeeh muraa yuko vitani be free
sio kunguru, mie vya watu sikuli hata...
lakini kwa kukupinya na "baridi ya darisalama" count me in miss!!