Barcelona kala 4 tayari huko msilale dk ya 52 kha

😂😂😂Wanangu mna bahati sana, hzo swadaka znanipita tu
Mkuu chukua chumvi mawe na mdalasini unga na limao kabla ya kubet safisha mikono yakoo na maji mwagia choon endeleaa ila ujiloge kama sisi update urusi tena wanatwaa
 
Na huyu nae
Brentford ni wagumu hasa wakia kwao.

Na hapo wameuza wachezaji wengi muhimu hadi kocha lakini bado wanaleta ubishi.

Gape saizi ni point 4

Mimi niliwaambia watu mtaani, Arsenal hana mikono ya kubebea kombe wakabisha.

Naona sasa watakuwa wanaanza kunielewa.
 
nawaza unakaa tegeta umekoaa kuabgalia sinza na masela huna gari usuku huu na haliya natokeo tena aisee

mbingun mtafika mmechoka sana
 
Brentford ni wagumu hasa wakia kwao.

Na hapo wameuza wachezaji wengi muhimu hadi kocha lakini bado wanaleta ubishi.

Gape saizi ni point 4

Mimi niliwaambia watu mtaani, Arsenal hana mikono ya kubebea kombe wakabisha.

Naona sasa watakuwa wanaanza kunielewa.
Kuna jamaa aliandika muogopen sana brentf akiwa k wa akee mmh tumekoma sio tu kuogopaa
 
OnyoookeshooPsg

Dir.win muwemakinnazo
 
13 Feb
Chelsea.w
ac Millan win
Psg 2+
Monaco 2+
add
14th
mancity w
Bunley 2+
b.munich 2+
Liv 2+
rb leipzig 2+
All d best
 
Kuna jamaa aliandika muogopen sana brentf akiwa k wa akee mmh tumekoma sio tu kuogopaa
Brentford ni mechi chache sana ambazo amecheza bila kupata goli.

Uhakika tu wa kuwa na consistency ya kupata goli unafanya timu isionekane ya kawaida.

Aston villa nadhani anaweza kumuona Arsenal kama ana bahati sana hata kupata hiyo sare.
 
ndio mkuu hapa nimetoka kuchek gemu ya arsenal nimevalia lijezi langu la barcelona.
Barcelona ikimkosaga Raphina huwa ina struggle sana.

Mi ndio maana sometimes huwa nasemaga mpaka sasa sijaona timu yenye kikosi kipana.

Wakikosekana wachezaji wawili tu, flow nzima ya timu inavurugika.

Poleni bana ila mimi kwangu ni furaha sana maana mngechukua na hili tusingelala.

Hiyo second leg labda yatokee tu maajabu na maajabu yalikuwa ni yale ya kipa wa Benfica kumfunga Madrid.

Maajabu hayatokeagi mara mbili ndani ya mwaka mmoja. Kwa hiyo sidhani kama kutakuwa na maajabu mengine kwenye mechi yenu ya marudiano.
 
Siioni barcelona ya kushinda goli 5 bora hata wangepata goli 2 kidogo matumaini yangekuwepo.

Nalia na arsenal ndio inaninyima raha hii timu.
 
Kama matokeo ya Arsenal yamekuuma sana basi nakuhakikishia kilio chako kitakuwa ni endelevu.

Hii ndio EPL na sidhani kama kuna zali lingine litakuja kuwaangukia kama msimu huu.

Misimu yote huwa ikifika Christmas tu mnakuwa mmeachia bomba kweye nafasi ya kwanza.

Hii chansi mliyopata huu msimu siione ikijitokeza kwenye misimu ya mbele.

Huu ulikuwa ni mwaka wenu ila mtajilaumu kwa uzembe wenu wenyewe.
 
HUYU MAZA MCHEKIN FB SOMEN HII MRAYATANO ANAUA TIMU KUBWA JANA NILIMKEBEHI NA JAMAA KIBAO NIMEWAHI KUFUTA COMMENT YANGU AISEE
 
Attachments

  • Screenshot_20260213-014456_Lite.jpg
    Screenshot_20260213-014456_Lite.jpg
    166.3 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260213-014524_Lite.jpg
    Screenshot_20260213-014524_Lite.jpg
    198.1 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260213-014511_Lite.jpg
    Screenshot_20260213-014511_Lite.jpg
    165.8 KB · Views: 9
SIO UZEMBE WANABET MKUU WAO SHIDA SIO TAJI MZIGOOO NDIO SHIDA ZAOO WAHUNI WALE WA MANZESE
 
Kama matokeo ya Arsenal yamekuuma sana basi nakuhakikishia kilio chako kitakuwa ni endelevu.

Hii ndio EPL na sidhani kama kuna zali lingine litakuja kuwaangukia kama msimu huu.

Misimu yote huwa ikifika Christmas tu mnakuwa mmeachia bomba kweye nafasi ya kwanza.

Hii chansi mliyopata huu msimu siione ikijitokeza kwenye misimu ya mbele.

Huu ulikuwa ni mwaka wenu ila mtajilaumu kwa uzembe wenu wenyewe.
Inaniuma sana hata nguvu ya kubishana sina
 
Back
Top Bottom