Barbara Gonzalez aliwekwa lock-up polisi masaa 8 tar 20/01/2022

C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.

Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi?

Mimi nilifikiri jambo limeisha baada ya bodi ya ligi kutoa faini ya 500,000/=

Nini mawazo yako mdau wa michezo.
Kashtakiwa na mtu,mwanamke mwenzie sio tff

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.

Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi?

Mimi nilifikiri jambo limeisha baada ya bodi ya ligi kutoa faini ya 500,000/=

Nini mawazo yako mdau wa michezo.
Bado Simba atakuwa SIMBA tuu pamoja na figisu zote hizi
 
Umekuwa sio mpira tena, kwa sasa ni kuwindana na kukomoana. Sidhani kama mwenendo huu ni afya kwa Taifa. Limeanza kwa viongozi litaenda kwa mashabiki.

Kuna moto utawaka sijui utazimika vipi.
 
Umekuwa sio mpira tena, kwa sasa ni kuwindana na kukomoana. Sidhani kama mwenendo huu ni afya kwa Taifa. Limeanza kwa viongozi litaenda kwa mashabiki.

Kuna moto utawaka sijui utazimika vipi.
GSM anatakatisha pesa...hajali kitu
 
Back
Top Bottom