Barbara Gonzalez aliwekwa lock-up polisi masaa 8 tar 20/01/2022

C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.

Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi?

Mimi nilifikiri jambo limeisha baada ya bodi ya ligi kutoa faini ya 500,000/=

Nini mawazo yako mdau wa michezo.
Kesi imepelekwa na mtu binafsi sio tff

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
makolo walikua wanajiona nani sijui nchi hii,sasa hivi full kulalamika!
 
C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.

Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi?

Mimi nilifikiri jambo limeisha baada ya bodi ya ligi kutoa faini ya 500,000/=

Nini mawazo yako mdau wa michezo.
Tena baada ya kumtoa remanded ilitakiwa apelekwe guest, asuguliwe hadi @mbususu itoe cheche. Kana dharau sana hako kakimbaumbau
 
Ndio maana FIFA wameweka kipengere cha Serikali kutokuwa na mikono kwenye Football. Mpira wa miguu upo na kanuni na sheria zake. Ndio maana barbra alitozwa faini na TFF. Waliompeleka police ni jiesiemu
We fala ipo siku utagongewa mkeo utailaumu GSM,punguzeni ujinga nyie,yule dada ana clip inayomuonyesha babra akimtukana na ndicho kinachomfanya babra awe mpole na akiri kama ameshikwa pabaya
 
Aha... kumbe

Kwani huyo Dada alimfanya nini Babra hadi amtukane ?
 
C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.

Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi?

Mimi nilifikiri jambo limeisha baada ya bodi ya ligi kutoa faini ya 500,000/=

Nini mawazo yako mdau wa michezo.

Tena baada ya kumtoa remanded ilitakiwa apelekwe guest, asuguliwe hadi @mbususu itoe cheche. Kana dharau sana hako kakimbaumbau
Hahahahahajaa hatari saaana!!!!
 
C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.

Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi?

Mimi nilifikiri jambo limeisha baada ya bodi ya ligi kutoa faini ya 500,000/=

Kumtolea mtu lugha chafu ni kosa kisheria za nchi na unampeleka mtu mahakamani vizuri kabisa haijalishi matusi hayo kayatoa uwanjani au sokoni...

Ikumbukwe kuwa wakati Barbara anatoa lugha chafu (kama kweli alitoa), hakuwa akifanya hivyo kwa niaba ya Simba SC, au kama CEO bali alifanya hivyo kama yeye...

Kama kuna faini iliyotoka TFF, hiyo ilitolewa kutokana na kukiukwa kwa miongozo yake na si vinginevyo...

Kumbuka hakuna sheria kubwa zaidi ya ile iliyopo kwenye katiba, na hakuna kilicho juu ya mahakama
 
GSM ametumwa kuja kuua mpira Tanzania. Najiulizaga tu hivi Malawi ametuacha wapi? Kumbe toka aje GSM kila kitu hakiendi hata Yanga huko hakuna kitu zaidi ya kuua viwango vya wazawa tu.
Acha uongo jamaa yangu. Ni kwa namna gani hiyo GSM inaua viwango vya wazawa pale Yanga?

Halafu hiyo GSM imetumwa na nani kuja kuua mpira wa Tanzania, na wakati ni Kampuni ya ndani? GSM ni mmoja wa wadhamini wa ligi kuu, ni mdhamini wa Yanga, ni mdhamini wa Namungo, Coastal Union, nk. Sasa anahusikaje tena kuua mpira wa Tanzania?

Yaani simba ikifungwa na Mbeya City, lawama zinaenda GSM! Ikitoa sare na Biashara United, lawama kwa GSM! Ikishinda, hongera na sifa zote zinaenda kwa akina Kibu Dennis na yule Kicha wa Madrid! 🤔
 
Nadhani busara haikutumika vizuri katika hili ........ halikupaswa kufika huku lilipofika

Kwa muktadha wa kimichezo TFF na mtumishi wao “aliyetukanwa” wangepaswa kujua pressure iliokuwepo na matokeo ya ghadhabu ya “kumzuia” CEO asiingie uwanja siku ya mechi kubwa kama ile hata kama alikua amekosea taratibu

Hakuna sheria inayoizidi katiba hadi ikaondoa kosa la JINA........ isipokua kwenye michezo kuna hitaji “busara” za kimichezo kudeal na jinai zinazotikana na munkari za kimichezo

Adhabu ambayo alipewa na Bodi ya ligi ndio busara zenyewe za kudeal na baadhi ya JINAI zinazotikana na mizuka ya kimichezo lakini pia inaonyesha ukomavu wa kudeal na mazingira magumu ya kimichezo haswa pale ghadhabu za kimahaba ya michezo inapotokea kwa wasimamizi wa michezo

Itoshe tu kusema BUSARA ya kimichezo imekosakana katika hili vinginevyo kesi za kijinai kwenye michezo zingejaa mahakamani kila uchwao
 
C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.

Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi?

Mimi nilifikiri jambo limeisha baada ya bodi ya ligi kutoa faini ya 500,000/=

Nini mawazo yako mdau wa michezo.
Kosa la kimtandao. Kurusha picha ya mtu mitandaoni bila ridhaa yake.
Makosa ya kimpira ni yale yahusuyo mchezo na siyo nje ya mchezo.
 
GSM ametumwa kuja kuua mpira Tanzania. Najiulizaga tu hivi Malawi ametuacha wapi? Kumbe toka aje GSM kila kitu hakiendi hata Yanga huko hakuna kitu zaidi ya kuua viwango vya wazawa tu.
Kane, Msheri, Ambundo, Job sio wazawa?
 
Acha uongo jamaa yangu. Ni kwa namna gani hiyo GSM inaua viwango vya wazawa pale Yanga?

Halafu hiyo GSM imetumwa na nani kuja kuua mpira wa Tanzania, na wakati ni Kampuni ya ndani? GSM ni mmoja wa wadhamini wa ligi kuu, ni mdhamini wa Yanga, ni mdhamini wa Namungo, Coastal Union, nk. Sasa anahusikaje tena kuua mpira wa Tanzania?

Yaani simba ikifungwa na Mbeya City, lawama zinaenda GSM! Ikitoa sare na Biashara United, lawama kwa GSM! Ikishinda, hongera na sifa zote zinaenda kwa akina Kibu Dennis na yule Kicha wa Madrid! 🤔
Kwani Yanga hadi saizi inawachezaji wangapi kuchezea Taifa Stars? Pale Simba mchezaji kama Dilunga hawezi kumweka nje Morison ila anacheza kwa faida ya Taifa tu?.
Mzamiru hana namba pale ila nae kwa faida ya timu ya Taifa tu. Kibu Denis hana namba ila kwa kuwa hatuna namba 9 nzuri anaivishwa yeye.
Achana na hao come to 1. Manura, 2. Kapombe. 3 Mohamed Husein. 4. Kenedy Wilson Juma 5 (Yanga) . 6 Mkude 7 Dilunga 8( Yanga) 9. Kibu Denis 10.(others). 11(others]. Hiyo ndio Taifa Stars.

Issue ya Babra GSM anahusika kwa asilimia 100 kama tu makonda na madawa ya kulevya au ushoga ila ukweli nyuma yake alikuwa jiwe. Kama haujaelewa nikupe na hii, Sabaya Paka tu ila kuna mchawi alikuwa anamtumia paka huyu
 
Back
Top Bottom