Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Sasa mbele ya jiwe ana msuli gani huyo mkuu...?
Japo nikiifikiria ile kauli ya DAB kumhusu Shangazi kuwa ana lindwa na mzee wake nimekosa majibu mkuu
Japo nikiifikiria ile kauli ya DAB kumhusu Shangazi kuwa ana lindwa na mzee wake nimekosa majibu mkuu
Huyo ndio aliyebadili katiba ya Znz na kuleta umoja wa kitaifa kwa faida ya wazanzibari kabla ya Shein kuja kuingizwa mkenge na wanaccm.