Baraza la viongozi wastaafu wa CCM

Baraza la viongozi wastaafu wa CCM

Hapo ambao hawapo muhimu ni
Jaji mkuu
Kamanda wa polisi
Kamanda wa jeshi
Mwenyekiti wa nec
Mkurugenzi wa TISS
Na propaganda cryian musiba hii safu itakuwa poa sana
 
Kumbe kuna nchi zenye vita tulizopakana nazo na unafahamu hilo? Nafikiri unafahamu kuwa tuna bahari na maziwa yanayoweza kushawishi hawa ndugu zetu wakorofi wa nchi kama Somalia n.k kuja na kufanya matukio. Anyways tufanye upo sawa kuwa jeshi letu lipo ovyo ni la mabrothermen.

Wasomali hawapangi vita bali hufanya mashambulio ya kigaidi. Na mashambulio ya kigaidi ni mpaka uwe na tatizo nao. Na hata wakitaka wanaweza kushambulia bila hilo jeshi kufanyika lolote kwani ni kuvizia. Huenda unaona jeshi letu ni imara sana kwakuwa huwa linaweza kuwadhibiti raia wasio na silaha. Watu wasiojulikana si ndio hao wanatamba tu, jeshi liko wapi lifanye kweli?
 
Wasiojlikana watajulikana na mwisho wao utafika kwa kutangazwa au bila kutangazwa. Jeshi la polisi ndo linahusika na kudhibiti wasiojulikana. Siliongelei jeshi la polisi.

Mkuu hata mm kuna mengi siridhishwi nayo lakini kufikia hatua ya kudharau kabisa kiasi cha kuita majeshi ya ulinzi na usalama ni ya kibrothermen Hamna kitu si sahihi. Wanafanya kazi sana tu. Ndo maana tunapata hata muda wa kujibizana online saa za kazi. Upo salama, una afya na idle time ya kuchat.
 
Hao wamemfuga nyoka wakamjengea kibanda sasa kibanda kimekuwa kidogo joka limekuwa limeamua kuwameza, ziara zake zote anatukana waliopita ingawa hawataji majina yaani nchi ilioza yeye ndio anaisafisha, sasa anamtumia Musiba kumsaidia kuwaonesha wao walikuwa si chochote... watu wanatekwa wanakaa kimya wanajiita wazee wa BUSARA? labda wale wa busara alioimba JUMA NATURE..
 
Wasiojlikana watajulikana na mwisho wao utafika kwa kutangazwa au bila kutangazwa. Jeshi la polisi ndo linahusika na kudhibiti wasiojulikana. Siliongelei jeshi la polisi.

Mkuu hata mm kuna mengi siridhishwi nayo lakini kufikia hatua ya kudharau kabisa kiasi cha kuita majeshi ya ulinzi na usalama ni ya kibrothermen Hamna kitu si sahihi. Wanafanya kazi sana tu. Ndo maana tunapata hata muda wa kujibizana online saa za kazi. Upo salama, una afya na idle time ya kuchat.

Jeshi la polisi linandoa na watu wasiojulikana, hapo ndio jeshi lilipaswa kuonyesha nguvu zake. Halafu acha upotoshaji, sijasema ni jeshi la kibrothermen bali limejaa macheckbob. Halafu kulinda nchi sio hisani bali ni wajibu wao na wanalipwa, naona unaongea kama vile ni watu wanajitolea.
 
Kwa taarifa yako hili baraza ndio lilimpitisha Jiwe kwa siri mwaka mmoja kabla ya mchakato wa kumpata mgombea wa CCM. Likamvua madaraka mwenyekiti wa wakati huo JK, likajitwalia mamlaka ya kuwaamulia watanzania milioni 50 hatima yao.

Hawa akina Kinana na Makamba wanajua jiwe anawajibika kwa hili baraza ndio maana wameamua kumshtaki huko.
Sasa ikawaje Pinda akalia machozi ukumbini wkt Magu anapitishwa kua mgombea wa CCM wkt Pinda huyo huyo alikuwepo kwny hilo baraza unalosema lilimpitisha Magu mwaka 1 nyuma.
 
In fact sio kumjadili musiba ni kumjadili anae mvimbisha kichwa na kuona ni namba gani watamdhibiti. Tatizo naloliona humo kuna walio kwenye mfereji wa bwana yule ukimsema vibaya tu imekula kwako
Sasa kumjadili Mzee Meko anayejipambanua kama kichaa si nikupoteza wakati?Mzee Meko anatakiwa kujadiliwa na mzee wa miuno Lu-goool....aaa, Bashite Zero Brain, Amber Rutty, James Delicious na wengine wanaofanana na hao.
 
Jeshi la polisi linandoa na watu wasiojulikana, hapo ndio jeshi lilipaswa kuonyesha nguvu zake. Halafu acha upotoshaji, sijasema ni jeshi la kibrothermen bali limejaa macheckbob. Halafu kulinda nchi sio hisani bali ni wajibu wao na wanalipwa, naona unaongea kama vile ni watu wanajitolea.
Macheckbob au mabrothermen hakuna jina lenye afadhali yote yanaonyesha dharau kwa jeshi lako. Kulinda nchi ni uzalendo na ni hisani kwa vizazi vijavyo. Njoo jeshini utuambie ni kiasi gani kinatosha kukulipa kufyatua mizinga mpaka mtu akiwa anakuita ni lazima apayuke ndo usikie. Njoo useme ni Tsh ngapi itakutosha upewe kazi ya kukaa macho usiku au mchana kwenye mipaka ambayo nchi zake zina maharamia wasio na utu huku mvua na jua vikiwa ni vyako. Njoo utuambie ni Tsh ngapi inakutosha upewe kufanya mazoezi ya kivita ambayo yanaweza kukuvunja saa yoyote au ukapoteza maisha ukiwa mazoezini.
Udhaifu wa wanasiasa usikufanye kulidharau jeshi. Wanasiasa wanapita, Jeshi lipo wakati wote likilinda nchi yako watakaoishi uzao wako.
 
‘... Ukiona mtu anakufitini Mwambie Waziwazi, ukiona anabadilika basi tambua aliteleza nawe msamehe, ukiona anaendelea tambua hakukosea amekusudia kukuharibia,

hakikisha hakuharibii ila wewe usimuharibie mengine zaid ya kuharibu lengo lake la kukuharibia...’

Mmoja wa Wazee wa Kamati hiyo ya Wazee aliwahi kutupiga somo hilo na akawa anarudia Mara kwa Mara enzi hizooooo

Mwisho wa mchakato huu wa Clinic ya kuimarisha Afya ya Siasa ndani ya Chama I’m very sure Ccm itaibuka mshindi dhidi ya Wahuni wanaojaribu kutaka kumtoa Rais kwenye Msingi wa Chama

wauni gani hao?
haw anaowatuma au hao wazee ndio wahuni ?
 
Macheckbob au mabrothermen hakuna jina lenye afadhali yote yanaonyesha dharau kwa jeshi lako. Kulinda nchi ni uzalendo na ni hisani kwa vizazi vijavyo. Njoo jeshini utuambie ni kiasi gani kinatosha kukulipa kufyatua mizinga mpaka mtu akiwa anakuita ni lazima apayuke ndo usikie. Njoo useme ni Tsh ngapi itakutosha upewe kazi ya kukaa macho usiku au mchana kwenye mipaka ambayo nchi zake zina maharamia wasio na utu huku mvua na jua vikiwa ni vyako. Njoo utuambie ni Tsh ngapi inakutosha upewe kufanya mazoezi ya kivita ambayo yanaweza kukuvunja saa yoyote au ukapoteza maisha ukiwa mazoezini.
Udhaifu wa wanasiasa usikufanye kulidharau jeshi. Wanasiasa wanapita, Jeshi lipo wakati wote likilinda nchi yako watakaoishi uzao wako.

Hapa naona unataka kulazimisha hoja. Unataka na mimi doctor nianze kujigamba kwamba natibu wagonjwa hivyo nafanya hisani na sio kulipwa kwa kazi ninayofanya? Kama huko jeshini kuna mazoezi mpaka unaweza kuvunjika, la ajabu ni lipi? Ni kazi gani isiyo na changamoto, mbona hata waendesha toyo wanapata vilema? Nadhani unashindwa kutofautisha ukweli na dharau. Hiyo kazi ya jeshi ni kazi kama kazi nyingine, na wote walioko huko sio lazima wawe wanafanya kwa ajili ya uzalendo, bali nina hakika wote wako huko kwakuwa wanapata mshahara. Kama wako kizalendo wasilipwe tuone kama huo uzalendo utakuwepo. Narudia tena acha upotoshaji kwa kugeuza geuza hoja ili kufikia matamanio yako.
 
Na hizo kazi zingine wanafanya ni machekbob? Au jeshini tu?
 
View attachment 1154180
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ana Makamu wake (Zanzibar)
Dk. Ali Moahammed Shein wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Baraza la ushauri la viongozi wastaafu wa CCM, walipokuwa wanazindua baraza hilo mjini Dodoma (24/08/2013)
Kushoto ni aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda na kulia ni aliyekuwa
katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.

NITASHANGAA SANA KAMA KINANA NA MAKAMBA WANATAKA HAWA WAZEE WAKAMJADILI MHUNI MMOJA ALIYEJIPA CHEO CHA UANAHARAKATI ANAYEITWA MUSIBA.

IT IS NEVER GOING TO HAPPEN, LABDA WAWE WAMETUMWA NA HAO WAZEE WAPATE SABABU YA KUMPIGA PINI JIWE.
Mwenye akili kidogo hapo labda pinda
 
Mwenye akili kidogo hapo labda pinda
Yaan umeufukua huu uzi kwa comment hiyo tu mzee?

Huu uzi unasifa moja tu kujadiliwa 2019 tu. Labda kama ulizuiwa ndiyo wameuachia.
Kama umeachiwa yaweza kuwa kwa lengo mahsusi tu, kukumbushana kuna hili baraza linaweza kufanya maamuzi yoyote yale msije kushangaa 😂😂, hasa chawa.
 
Back
Top Bottom