Chadema haina Baraza la viongozi wastaafu kama CCM?

Chadema haina Baraza la viongozi wastaafu kama CCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Kwa kawaida viongozi wastaafu ndio huwa KISIMA cha hekima na busara chamani

Chadema ina Baraza hilo au hata bodi ya Wazee wa chama?
 
Mkuu watasaidia nini? Kwa haya ya leo unaona kabisa hawa wazee na hekima na busara zao zitafanyiwa kazi au kurekebishwa?
 
Kwa kawaida viongozi wastaafu ndio huwa KISIMA cha hekima na busara chamani

Chadema ina Baraza hilo au hata bodi ya Wazee wa chama?

Mshaurini ndugu yenu:

GpTFqrZXAAECZ-k.jpeg
 
Back
Top Bottom