Chama ni Mali binafsi mwenye chama ndo muamuzi wameshachelewa mm siwaonei huruma wavune walichopandaAisee ww jamaaa una roho ngumu sana. Kwa nn wapigwe mabomu wakati wanataka kuleta mshikamano?
Chama ni Mali binafsi mwenye chama ndo muamuzi wameshachelewa mm siwaonei huruma wavune walichopandaAisee ww jamaaa una roho ngumu sana. Kwa nn wapigwe mabomu wakati wanataka kuleta mshikamano?
Ni hivi, hakuna misingi yoyote waliyoweka kwenye hilo jeshi maana hawawalipi mshahara. Hao wanajeshi walikuwa wanawaheshimu kipindi wako madarakani, saa hii kwao Ni useless. Hata huyu Magufuli anayesifiwa leo ni kwakuwa yuko madarakani, akitoka hata mwanamke anaweza kumkata vibao na asifanye lolote. Hazina pekee unayoweza kujiwekea ni kutendea watu mema. Nani awaheshimu wakati wao wenyewe bado wanategemea kulipwa mpaka leo na serekali ili waendeshe maisha?
Naheshimu mawazo yako mkuu. Ila ni maoni yasiyo sahihi. Hapa ishu si mshahara tu kwa jeshi. Nidhamu na utii wa jeshi kwa mtawala umebebwa na mambo mengi sana. Na ndo maana si kila mtu anaweza kuongoza vita na wanajeshi wakamtii, hata kama ana pesa za mishahara.Ni hivi, hakuna misingi yoyote waliyoweka kwenye hilo jeshi maana hawawalipi mshahara. Hao wanajeshi walikuwa wanawaheshimu kipindi wako madarakani, saa hii kwao Ni useless. Hata huyu Magufuli anayesifiwa leo ni kwakuwa yuko madarakani, akitoka hata mwanamke anaweza kumkata vibao na asifanye lolote. Hazina pekee unayoweza kujiwekea ni kutendea watu mema. Nani awaheshimu wakati wao wenyewe bado wanategemea kulipwa mpaka leo na serekali ili waendeshe maisha?
Huyu wa sasa naitamani hiyo siku atakayoondoka madarakani. Naouna kila alichoanzisha Chato kikiachwa solemba. Mpaka mabenki yatafungasha na kuondoka wakimwachia magofu. Ndege watakaotua uwanja wake wa chato watakuwa kunguru na bundi.Me nafurahi sana moto wa ubatizo ukibatiza kotekote,walipanda miba njiani ili iwachome wengine wakijifungua ndani kwamba wako Salama. Pia naomba katiba hii hii isibadilishwe ili nao wakitoka madarakani waje wapimiwe Vipimo hivo hivo walivowapimia wenzao wataifishiwe Mali zao,mahoteli yao,majumba ,Viwanja ,Mashamba, fedha zao maana Madaraka ni sawa na abiria utafika kituo chako lzm utashuka uwe unapenda au upendi na uzuri wa mfumo ukikutupa huna mamlaka huna dola huna amri zaidi ya kumuamuru mkeo.Tuliwaonya walipokuwa na nafasi ya kutengeneza katiba bora Kwa maslai ya wote wakaweka pamba watulie tu upako uuingie vizuri watamuelewa tu Lisu.Waliopo madarakani nao twaomba waendelee kuwa vipofu ili nao wakitoka wavune waliyowatendea wenzao.
Hao wazee wamiliki wa waraka wametoa wapi hizo karatasi zenye nembo ya chama??
Naheshimu mawazo yako mkuu. Ila ni maoni yasiyo sahihi. Hapa ishu si mshahara tu kwa jeshi. Nidhamu na utii wa jeshi kwa mtawala umebebwa na mambo mengi sana. Na ndo maana si kila mtu anaweza kuongoza vita na wanajeshi wakamtii, hata kama ana pesa za mishahara.
Hao wazee wamiliki wa waraka wametoa wapi hizo karatasi zenye nembo ya chama??
Hapo yeye hawamgusi. Watasambaratisha empire yake ya chato mpaka irudi Chato pabaki magofu mithili ya Gbadolite. Yeye anaendelea kusifiwa kafanya makubwa yasiyo na mfano.Lkn mkuu katiba inasema msitaafu haguswi hata kama alitenda dhambi kubwa zaidi ya mlima.
wasemaje?
View attachment 1154180
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ana Makamu wake (Zanzibar)
Dk. Ali Moahammed Shein wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Baraza la ushauri la viongozi wastaafu wa CCM, walipokuwa wanazindua baraza hilo mjini Dodoma (24/08/2013)
Kushoto ni aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda na kulia ni aliyekuwa
katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.
NITASHANGAA SANA KAMA KINANA NA MAKAMBA WANATAKA HAWA WAZEE WAKAMJADILI MHUNI MMOJA ALIYEJIPA CHEO CHA UANAHARAKATI ANAYEITWA MUSIBA.
IT IS NEVER GOING TO HAPPEN, LABDA WAWE WAMETUMWA NA HAO WAZEE WAPATE SABABU YA KUMPIGA PINI JIWE.
Kwa taarifa yako hili baraza ndio lilimpitisha Jiwe kwa siri mwaka mmoja kabla ya mchakato wa kumpata mgombea wa CCM. Likamvua madaraka mwenyekiti wa wakati huo JK, likajitwalia mamlaka ya kuwaamulia watanzania milioni 50 hatima yao.
Hawa akina Kinana na Makamba wanajua jiwe anawajibika kwa hili baraza ndio maana wameamua kumshtaki huko.
Mkuu umetisha mbaya,yan wazee waletewe wanoko wa intelegensia kuwatawanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa, na vile sasa hivi Magufuli kafanikiwa kuharibu demokrasia ina maana atakuwa hawaogopi hata hao wazee kwani hahitaji kura hata moja kuendelea kuwa madarakani, zaidi ya jeshi kumtii. Natamani hata siku hao wazee wanakutana kwenye hicho kikao cha kumjadili Musiba, amri itoke juu wasambaratishwe kwa mabomu bila kujali umri wao.