Baraza la viongozi wastaafu wa CCM

Baraza la viongozi wastaafu wa CCM

Mkuu uwekwe kati na wazee usitoke!! basi ww utakuwa ni mlemavu. Ukishazeeka unaishi kwa hisani. Huna ubavu wa kumuweka mtu yoyote kati. Kibaya zaidi hao wazee hata wakiacha laana haimpati mtu maana hata wao ni wachafu. Hapo mtu anayeweza kuongea bila woga ni Karume tu, hao wengine wote wakiongea chochote wataishia jela.
Si rahisi kutokea kama unavyozngumza. Nguvu ya kiongozi yoyote inatokana na misingi iliyowekwa na wastaafu na jeshi.
 
View attachment 1154180
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ana Makamu wake (Zanzibar)
Dk. Ali Moahammed Shein wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Baraza la ushauri la viongozi wastaafu wa CCM, walipokuwa wanazindua baraza hilo mjini Dodoma (24/08/2013)
Kushoto ni aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda na kulia ni aliyekuwa
katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.

NITASHANGAA SANA KAMA KINANA NA MAKAMBA WANATAKA HAWA WAZEE WAKAMJADILI MHUNI MMOJA ALIYEJIPA CHEO CHA UANAHARAKATI ANAYEITWA MUSIBA.

IT IS NEVER GOING TO HAPPEN, LABDA WAWE WAMETUMWA NA HAO WAZEE WAPATE SABABU YA KUMPIGA PINI JIWE.
Hili jambo siyo jepesi , hii ndio hatua ya mwanzo ya mtu wa kwanza Tanzania kuwa Rais kwa miaka mitano tu ( 1 term president )
 
Halitakuwa jambo baya ukirudi nyuma kidogo ukausome ule "Waraka" walioutoa. Inaelekea hukuusoma vizuri na kuuelewa.

Lakini kama uliuelewa kama wengine walivyouelewa, utakuwa kundi moja na hao waliouandika kwa kutotaka kuelekeza moja kwa moja lawama zinazolalamikiwa kwa mhusika mwenyewe.

CCM imejaa unafiki mwingi. Hili ndilo tatizo. Hakuna anayeweza kusimama na kuusema ukweli ulivyo moja kwa moja. Tabia hii hii imeenezwa sasa kila mahali katika jamii yetu. Imekuwa shida sana.

Hawa waliotoa 'waraka' wao waache kupindapinda wakati wanaona mambo yanaharibika.
Wanajua wazi, hao wazee nao uwezo wao kudhibiti ni mdogo sana. Jini limekwishatolewa kwenye chupa, sasa ni kupambana nalo moja kwa moja sio kurembaremba tena. Litawala liwamalize.

Njia sahihi ni kuwaendea wananchi sasa. Hawa watu wawili wana uzoefu mkubwa wa kushughulika na wananchi moja kwa moja. Hizi gheresha za kuwaendea wazee wastaafu sana sana zitaishia kufunika na kulipa Jini muda lizidi kujiimarisha zaidi.
Mwinyi hana lolote analoweza kulifanya. Mwinyi si Nyerere. Mkapa na Kikwete hawawezi chochote mbele ya Jini na hawana ushawishi mkubwa kwa wananchi kwa sababu ni sehemu ya kupatikana kwa Jini.
Wawaendee wananchi kwa platform gani? Mikutano?? [emoji16]

Mi sikufichi kama kuna watu wanafaidika na huu utawala wacha wafaidike na ambao wanaumia wataumia haswa.

Katiba ilipigiwa kelele hawahawa wazee walikua na nguvu ila wakapuuza hivyo hilo jini sioni wakulizuia ndomana narudia tena WAKUUMIA WAUMIE na WAKUNUFAIKA WANUFAIKE mpaka nature itakapoamua.

Kwa uono wangu MAGUFULI hatoachia urais 2025 maana hatokua tayari kubeba mzigo wa dhambi hizi akiwa bado na akili timamu.
 
Hawa wote wanamuhofia nduli na dikteta kwamba anaweza kusitisha pension zao na kuwatusi pia. Hawana ubavu hawa wa kumuadabisha huyo mhuni waliyemsukumizia Ikulu. Ngoja tusubiri tuone.


View attachment 1154180
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ana Makamu wake (Zanzibar)
Dk. Ali Moahammed Shein wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Baraza la ushauri la viongozi wastaafu wa CCM, walipokuwa wanazindua baraza hilo mjini Dodoma (24/08/2013)
Kushoto ni aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda na kulia ni aliyekuwa
katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.

NITASHANGAA SANA KAMA KINANA NA MAKAMBA WANATAKA HAWA WAZEE WAKAMJADILI MHUNI MMOJA ALIYEJIPA CHEO CHA UANAHARAKATI ANAYEITWA MUSIBA.

IT IS NEVER GOING TO HAPPEN, LABDA WAWE WAMETUMWA NA HAO WAZEE WAPATE SABABU YA KUMPIGA PINI JIWE.
 
Chukua moja panda ndege 1 kwenda Kigali, ingine malawi, ingine Lusaka, ingine Lubumbashi, ingine Arusha tu, ingine pritoria, ikirudi hapa hapana baraza tena wala kesi!

Naongea hivi kama mazuri ila hawa wazee wametukosea sana watanzani!
 
Kweli hatuna hazina wa Viongozi..Yaani hao wauni Ndiyo viongozi.
 
Kwa taarifa yako baraza halina nguvu yoyote ya kisheria dhidi ya huyo unayemuita jiwe,wao ni kutoa ushauri tu,na si mahakama.
Huyo unayemuita jiwe ana hiari ya kuufanyia kazi ushauri wao au la !, halazimishwi na baraza hilo.

Kajambe ulale

Mfumo wa Ccm ni busara zaid ya sheria

Kuna Mjanja mjanja mmoja aliiweka CC yote ya chama mfukoni 2007-2015 akaja kuchinjwa na iliyoitwa Kamati ya maadili
 
Kama hawataki kumtaja kwenye waraka wao hao wazee watawezaje kumjua?

Nijuavyo mimi yote anayoongea Musiba huandikiwa na hupewa na kamati ya vilaza inayoongozwa na Bashite, ikiwa na baraka zote kutoka kwa jiwe.

Hawa wazee hawana sekretarieti ya uchunguzi wa kuweza kujua ni nani yupo nyuma ya Musiba. Kinana angetaja huyo anayedhani yupo nyuma ya Musiba ningemwona mwanaume.
Seriously ulitarajia wamtaje au wawataje kwa majina kwenye ule waraka?
 
Hivi kumbe msiba ni mjumbe wa NEC? maana anashitakiwa kwa baraza la washauri? rudia tena, sema baraza la ushauri. Sijui toka lini washauri waka leta matokeo.maana ni hiyari kupokea au kukataa ushauri unaotolewa, hasa huu usio na madhara ya kisheria.
 
Kwa taarifa yako baraza halina nguvu yoyote ya kisheria dhidi ya huyo unayemuita jiwe,wao ni kutoa ushauri tu,na si mahakama.
Huyo unayemuita jiwe ana hiari ya kuufanyia kazi ushauri wao au la !, halazimishwi na baraza hilo.

Kajambe ulale
Baraza hili ni ndani ya chama na wao wameeleza wazi. Sasa hapo ni nini kwenye nguvu za ushawishi ndani ya chama
 
Msiba ni spika tu fuatilia waya unaoshikilia kipaza Sauti ndio utajua
View attachment 1154180
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ana Makamu wake (Zanzibar)
Dk. Ali Moahammed Shein wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Baraza la ushauri la viongozi wastaafu wa CCM, walipokuwa wanazindua baraza hilo mjini Dodoma (24/08/2013)
Kushoto ni aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda na kulia ni aliyekuwa
katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.

NITASHANGAA SANA KAMA KINANA NA MAKAMBA WANATAKA HAWA WAZEE WAKAMJADILI MHUNI MMOJA ALIYEJIPA CHEO CHA UANAHARAKATI ANAYEITWA MUSIBA.

IT IS NEVER GOING TO HAPPEN, LABDA WAWE WAMETUMWA NA HAO WAZEE WAPATE SABABU YA KUMPIGA PINI JIWE.
 
Ukiona hivyo ujue Musiba ni kipaaza sauti tu. Kupeleka kwenye baraza kunakwonyesha nani ndio anamtuma Musibaaa
Aisee musiba kapata umaarufu mkubwa sana, yaani akajadiliwe na watu waliopendekeza jina la JPM, yaani musiba badala ya kukemewa tu na kuhojiwa na polisi sasa anasubiri kuhojiwa na wazee wastaafu, hiki ni kioja kikubwa
 
Membe Kamilius alisema wazee wajitokeze na kukemea. Kwa namna fulani ni kama wanacheza ngoma yake vile
Ashtakiwe Musiba ahojiwe mwenyekiti? Siyo rahisi. Japo wameonyesha kukosa imani na chama mpaka kesi ya mhuni musiba iende kwa wazee wastaafu wa ngazi za juu kabisa.
 
Kama ccm wana akili na kuna watu wana akili ,busara ,na hekima basi wajitokeze wastaafu wengine na wazito wengine kuwauga mkono ili Yona atoswe baharini maana musiba anatumwa na Yona .
 
Si rahisi kutokea kama unavyozngumza. Nguvu ya kiongozi yoyote inatokana na misingi iliyowekwa na wastaafu na jeshi.

Ni hivi, hakuna misingi yoyote waliyoweka kwenye hilo jeshi maana hawawalipi mshahara. Hao wanajeshi walikuwa wanawaheshimu kipindi wako madarakani, saa hii kwao Ni useless. Hata huyu Magufuli anayesifiwa leo ni kwakuwa yuko madarakani, akitoka hata mwanamke anaweza kumkata vibao na asifanye lolote. Hazina pekee unayoweza kujiwekea ni kutendea watu mema. Nani awaheshimu wakati wao wenyewe bado wanategemea kulipwa mpaka leo na serekali ili waendeshe maisha?
 
Me nafurahi sana moto wa ubatizo ukibatiza kotekote,walipanda miba njiani ili iwachome wengine wakijifungua ndani kwamba wako Salama. Pia naomba katiba hii hii isibadilishwe ili nao wakitoka madarakani waje wapimiwe Vipimo hivo hivo walivowapimia wenzao wataifishiwe Mali zao,mahoteli yao,majumba ,Viwanja ,Mashamba, fedha zao maana Madaraka ni sawa na abiria utafika kituo chako lzm utashuka uwe unapenda au upendi na uzuri wa mfumo ukikutupa huna mamlaka huna dola huna amri zaidi ya kumuamuru mkeo.Tuliwaonya walipokuwa na nafasi ya kutengeneza katiba bora Kwa maslai ya wote wakaweka pamba watulie tu upako uuingie vizuri watamuelewa tu Lisu.Waliopo madarakani nao twaomba waendelee kuwa vipofu ili nao wakitoka wavune waliyowatendea wenzao.
 
Aisee ww jamaaa una roho ngumu sana. Kwa nn wapigwe mabomu wakati wanataka kuleta mshikamano?

Mshikamano waanze kuueleta baada ya wao kubagazwa? Hao wazee ni wahuni wastaafu, dawa yao ni kuwapiga hadi wachakae. Ni mara ngapi mshikamano unavunjwa wako kimya? Hatutaki mshikamano wa kinafiki, kama walidhani wanasupport ya umma basi wanajidanganya, wapambane na hali zao, kwani hali hii ya sasa wao ndio chanzo.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom