Baraza la Mawaziri la Rais Mgufuli mbona Raia Wamelipotezea?

Ulitaka wewe ndio uwe mshauri wake? Kila mtu ana kazi yake mwacheni JPM afanye kazi yake, baada ya miezi miwili ya kampeni nchi nzima bado unataka akurupuke, lazima ajiridhishe maana amepewa dhamana kubwa kuwaweka Mawaziri wenye uwezo wa kuwavusha Watanzania.
 
Ss tunaendelea na maisha Hilo Baraza halitusaidii lolote.
 
Tokea matokeo ya uchaguzi (uchafuzi) wa Oktoba 28, hakuna jambo lingine lenye msisimuko hapa nchini kwa sasa tofauti na mkutano (maamuzi) ya kamati ya bunge la EU yaliyofanyika juzi...
 
Nadhani ikipita tafiti ya nchi IPI imejaa mafala au inaongoza duniani lazima TZ ichukue uongozi kutokana na watu wa aina hii
Naomba ujiullize kwa umakini.....tangu uwe na akili timamu wewe zuzu.....baraza la mawaziri hapa Tanzania limekusaidia nini maishani mwako? Ulikuwa hufanyi kazi au kufanya mambo yako bila hilo baraza? Tumia akili dogo, usipende kujilazimisha ujinga.
 
Hivi bunge la February litafanyika vipi ikiwa mawaziri hawatakuwepo??
 
Kazi ya cabinet ni kumshauri rais ila huyu hashauriki na anajiona ama akili kuliko watu wote, kumbe ni kinyume kabisa
 
Hakuna haja ya mawaziri katika utawala wa Mkulu huyu. Hata huyo waziri mkuu anabahati naye angesubiri kuchaguliwa. Kabudi hakuwa na jinsi maana kama kuna wizara inamyima usingizi ni hiyo ya nchi za nje.

Hivi kwanini awe na mawaziri? Kwa mfano aliyekuwa waziri wa afya Ummy Mwalimu wakati wa sakata la Korona hivi alifanya nini? Si alikuwa anacheza ngoma kwa mtindo mkulu anavyopiga: Chukua takwimu - Anachukua; Kuanzia Leo achana na takwimu- anafuata; Hakuna barakoa-anafuata basi ilimradi.

Mimi namuunga mkono hakuna haja ya mawaziri - Ni upotevu wa pesa tu, bora hiyo pesa iende kwa wanafunzi aka BOOM.
 
Mkuu, ugoigoi na kutokujali (state of apathy) ni vitu viwili tofauti.
 
We fala ebu jiulize 2015 #JPM alichukua muda gani kutangaza baraza lake la mawaziri?

Ukikosa hoja nenda haja kubwa na ndogo kisha kalale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…