cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,565
- 201,784
Wachaa wee!!Kila mmoja wao aonje national cake
Wachaa wee!!Kila mmoja wao aonje national cake
huyo anayevunja naye ajivunje. yeye ndiye tatizo la hii nchiMnamo November Baraza la mawaziri litavunjwa na kuundwa upya
Nyumbu wewe hanithi kwelikweli, endelea kulikalisha sotojo lako hilo ukipita ndoto zako za alinacha.Yoyote anayechagiliwaa kuwa sehemu ya Baraza la huyu Muuaji Samia ni Haramu... Hakuna Rais aklicheguliwa mwenye uhalali wa kutengeneza Baraza la mawazi... Wote chini ya Samia ni Waauaji na haramu
Mawaziri hutokana na bunge
Noma sana, 😂😂😂Mambo yamepandiana🤣🤣
Yaelekea kuna mtu anawindwaMnamo November Baraza la mawaziri litavunjwa na kuundwa upya
Duh! Umerudia kwenye matusi yako. Siku Ile uliomba radhi hadharani. Ila umerudia matusi makali kuliko mwanzoni. Kisa mwenzako sio CCM unamtukana kiasi hicho.Nyumbu wewe hanithi kwelikweli, endelea kulikalisha sotojo lako hilo ukipita ndoto zako za alinacha.
Kuna tija yoyote kufanya hivyo?. Wanaiyoiona wanisaidie niione.Mnamo November Baraza la mawaziri litavunjwa na kuundwa upya
Sababu juu ni nini?Ilishaandikwa na wajuvi humu jamvini
Mwigulu !ilisha semekana mapema kwamba apigwe chiniYaelekea kuna mtu anawindwa
Asante kwa taarifa...Mnamo November Baraza la mawaziri litavunjwa na kuundwa upya