wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,611
- 3,424
Hiyo ndiyo kazi kuu iliyobaki. Zamani saa hizi tungekuwa South Korea tunakunywa supu ya mbwa, baadae tunavurumisha B787-8 hadi marekani kula pizza, big Mac na coca bariiidiii.Kuna nini kimetokea?
Sasa imebaki kula urojo tu.