Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,299
- 3,056
I continue to be puzzled by myself coz though I hate it as much but I keep comment and arguing about it. I muzzle now.
Ni uppuuzi ***** kuleta heading isiyo na kiungo na habari aliyoletaunaweza kubadilisha heading yako?
Herald Hunter una hunt nini sasa? Badili heading yako mtu akija atadhani una tetesi za majina kumbe ni blah blah fulani hivi.
Hii inaweza kuwa thread dhaifu kuzidi zote zilizowahi kuletwa humu JF.
Kikwete yuleyule, Pinda yule yule, uwezo wao ule ule, chama kile chenye wanamtandao walewale.
Kweli yataka moyo sana kutegemea kupata baraza jipya eti "lenye ubora"
Nyie watu mna moyo si utani!
Mkuu Kilasara wabunge wakichaguliwa kazi ya kwanza ni kumchagua spika na kisha spika anawaapisha. Baada ya hapo Rais anateua PM ambaye jina lake linapelekwa Bungeni kwa ajili ya kupitishwa. Baada ya Waziri Mkuu kupitishwa ndio wanakaa na Rais ili kuteua mawaziri. Hivyo so lweli kwamba mawaziri wanateuliwa kabla ya kuapa. Unless kwenye wabunge wa kuteuliwa na rais labda kuna utaratibu mwingine wa kuapa.
Ikulu imetoa taarifa rasmi kwamba baraza jipya la mawaziri liko jikoni na sasa litatangazwa muda wowote kuanzia sasa..
Taarifa hiyo imeongeza kwamba baraza hilo litakua lina ubora wa hali ya juu sana.
Chanzo:gazeti mwananchi.