Baraza la mawaziri kutangazwa wakati wowote-Ikulu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la mawaziri kutangazwa wakati wowote-Ikulu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHAI CHUNGU, May 3, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ikulu imetoa taarifa rasmi kwamba baraza jipya la mawaziri liko jikoni na sasa litatangazwa muda wowote kuanzia sasa..

  Taarifa hiyo imeongeza kwamba baraza hilo litakua lina ubora wa hali ya juu sana.

  Chanzo:gazeti mwananchi.
   
 2. T

  Tesha1 New Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  where is Mama Migiro
   
 3. L

  Lion's Claws Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani halitakuwa na jipya kwani watu ni walewale labda achanganye na wapinzani.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 30,799
  Likes Received: 4,181
  Trophy Points: 280
  Nyie watu mna moyo si utani!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,749
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  Watanzania bwana tuna kazi kweli kweli. Wazungu walikaa wakatumia ubongo wao wakagawanya mwaka katik miezi, mwezi katika wiki, wiki katika siku, siku pia ikagawanywa katika saa, saa katika dkk na dkk katika sekunde. Hii yote ni katika kurahisisha kupeana muda sahihi lakini leo tunasema WAKATI WOWOTE. Hiyo wakati wowote hauna mwezi, siku wala saa?
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,749
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mzee Mwanakijiji, naona hii ndio kauli mbiu yako kuelekea kutangazwa kwa baraza jipya. Naona una siri kubwa moyoni!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,749
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  Kama linatangazwa bila Bunge la dharura basi hayumo. Huwezi kuapa kuchukua uwaziri bila kwanza kuapa kuwa mbunge.
   
 8. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Nasubiri nione huo ubora wake!
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Una hamu ya kulijuwa? haya tayarisha "criticism" kabla halijatangazwa!
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,525
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  hivi kuapa kuwa mbunge lazima uende ukale kiapo dodoma ndani ya ukumbi wa bunge?si unaweza kuapishwa hata kwenye ofisi ndogo za bunge mradi bi kiroboto awepo au?
   
 11. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,518
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  umenena. hata mwezi ujao ni wakati wowote kuanzia sasa!!!!
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri ila kama ana akili ampige chini Mahanga atamchafua.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,290
  Likes Received: 22,959
  Trophy Points: 280
  Hivi Anna Tibaijuka yupo kweli?

  Manake aliingia na bomoa bomoa yake halafu ghafla akawa hasikiki kama ilivyokuwa awali.
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,749
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  Unaapa kwenye kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa bunge baada ya kuteuliwa. Siyo ukae na spika tu akuapishe Mkuu.
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,666
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Mimi nimeshakata tamaa kuanzia Hukumu ya lema mpaka ya segerea najiona ni mtumwa katika nchi yangu
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  so kinyume chake?LILILOPITA HALIKUA BORA,ASANTE SANA KATIBU KIONGOZ
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  nimekuelewa,
   
 18. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Baraza hilo likiwa halina wapinzani japo watatu bado litakuwa bomu tu.
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,666
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Muungano Karibu uvunjike kwahiyo concentrate sana kwenye mambo yenu ya zenji
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  atateuliwa mtu wa kushika kijiti chake
   
Loading...