BARAZA la Mawaziri Kivuli, Kambi Rasmi ya Upinzani baada ya mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BARAZA la Mawaziri Kivuli, Kambi Rasmi ya Upinzani baada ya mabadiliko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tumaini Makene, Jun 21, 2012.

 1. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,607
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI NA MABADILIKO YA WIZARA KIVULI
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 7"]
  [TR]
  [TD="width: 36"] No.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] WIZARA KIVULI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] WIZARA YA SERIKALI
  [/TD]
  [TD="width: 135"] KAMATI HUSIKA YA BUNGE
  [/TD]
  [TD="width: 132"] WAZIRI KIVULI
  [/TD]
  [TD="width: 90"] NAIBU WAZIRI
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 1.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] OFISI YA WAZIRI MKUU
  [/TD]
  [TD="width: 132"] OFISI YA WAZIRI MKUU
  [/TD]
  [TD="width: 135"] -SHERIA NA KATIBA,
  -FEDHA ,UCHUMI +MIPANGO
  [/TD]
  [TD="width: 132"] KUB- FREEMAN A.MBOWE
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 2.
  [/TD]
  [TD="width: 172"]

  WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU


  [/TD]
  [TD="width: 132"] 1.SERA,URATIBU NA BUNGE
  2.UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI
  3. TAMISEMI—
  ELIMU
  -TAWALA ZA MIKOA
  [/TD]
  [TD="width: 135"]
  -do-​
  [/TD]
  [TD="width: 132"] DAVID ERNEST SILINDE
  [/TD]
  [TD="width: 90"]


  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 3.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] MIUNDOMBINU
  [/TD]
  [TD="width: 132"] UJENZI NA UCHUKUZI
  [/TD]
  [TD="width: 135"] MIUNDOMBINU
  [/TD]
  [TD="width: 132"] SAID ARFI
  [/TD]
  [TD="width: 90"] PAULINE GEKUL
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 4
  [/TD]
  [TD="width: 172"]

  WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS
  [/TD]
  [TD="width: 132"] OFISI YA RAIS
  1-UTAWALA BORA
  2-MAHUSIANO NA URATIBU
  3- MENEJIMENT YA UTUMISHI WA UMMA
  [/TD]
  [TD="width: 135"] -SHERIA NA KATIBA.
  -FEDHA NA UCHUMI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] PROF. KULIKOYELA KAHIGI
  [/TD]
  [TD="width: 90"]


  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 5.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] FEDHA UCHUMI NA MIPANGO
  [/TD]
  [TD="width: 132"] WIZARA YA FEDHA
  [/TD]
  [TD="width: 135"] FEDHA NA UCHUMI
  [/TD]
  [TD="width: 132"]
  ZITTO KABWE
  [/TD]
  [TD="width: 90"] CHRISTINA MUGHWAI
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 6.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] KATIBA SHERIA NA MUUNGANO
  [/TD]
  [TD="width: 132"] KATIBA NA SHERIA+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO
  [/TD]
  [TD="width: 135"] SHERIA NA KATIBA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] TUNDU A.LISSU
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 7.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] MALIASILI,UTALII NA MAZINGIRA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] MALIASILI NA UTALII+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA
  [/TD]
  [TD="width: 135"] MALIASILI NA MAZINGIRA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] MCH.PETER MSIGWA
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 8.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] MAMBO YA NDANI YA NCHI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] MAMBO YA NDANI
  [/TD]
  [TD="width: 135"] MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] VICENT NYERERE
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 9.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA+ USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI
  [/TD]
  [TD="width: 135"] MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] EZEKIAH D.WENJE
  [/TD]
  [TD="width: 90"] RAYA IBRAHIM KHAMIS
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 10.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] ULINZI NA JKT
  [/TD]
  [TD="width: 132"] ULINZI NA JKT
  [/TD]
  [TD="width: 135"] MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA

  [/TD]
  [TD="width: 132"] MCH.ISRAEL NATSE
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 11.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] MAJI,MIFUGO NA UVUVI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] MAJI NA UMWAGILIAJI+ MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
  [/TD]
  [TD="width: 135"] KILIMO ARDHI NA MAJI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] SYLVESTER M.KASULUMBAYI
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  SABREENA HAMZA​
  SUNGURA​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 12.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] KAZI,HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO
  [/TD]
  [TD="width: 132"] HABARI,VIJANA NA MICHEZO+ KAZI NA AJIRA
  [/TD]
  [TD="width: 135"] MAENDELEO YA JAMII
  [/TD]
  [TD="width: 132"] JOSEPH O.MBILINYI
  [/TD]
  [TD="width: 90"] CECILIA PARESSO
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 13.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] NISHATI NA MADINI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] NISHATI NA MADINI
  [/TD]
  [TD="width: 135"] NISHATI NA MADINI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] JOHN MNYIKA
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"]
  [/TD]
  [TD="width: 172"]
  [/TD]
  [TD="width: 132"]
  [/TD]
  [TD="width: 135"]
  [/TD]
  [TD="width: 132"]
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 14.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] VIWANDA NA BIASHARA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] VIWANDA NA BIASHARA
  [/TD]
  [TD="width: 135"] VIWANDA NA BIASHARA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] HIGHNESS KIWIA
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 15.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] AFYA, JINSIA NA JAMII
  [/TD]
  [TD="width: 132"] AFYA NA USTAWI WA JAMII+MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO
  [/TD]
  [TD="width: 135"] -HUDUMA ZA JAMII
  -MAENDELEO YA JAMII
  [/TD]
  [TD="width: 132"] DR. GERVAS MBASSA
  [/TD]
  [TD="width: 90"] CONCHESTA RWAMLAZA
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 16.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI + SAYANSI TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO
  [/TD]
  [TD="width: 135"] -HUDUMA ZA JAMII
  -MIUNDOMBINU
  [/TD]
  [TD="width: 132"] SUZAN A.LYIMO
  [/TD]
  [TD="width: 90"] JOSHUA NASSARI
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 17.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] KILIMO NA USHIRIKA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
  [/TD]
  [TD="width: 135"] KILIMO, MIFUGO NA MAJI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] ROSE SUKUM KAMILI
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 18.
  [/TD]
  [TD="width: 172"] ARDHI,NYUMBA NA MAKAZI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
  [/TD]
  [TD="width: 135"] ARDHI, MALIASI NA MAZINGIRA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] HALIMA MDEE
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  -​
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 346
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Asante ila ungetusaidia zaidi kama ungetuambia katika hayo mabadiliko nani kahamishwa na nani kaachwa.I mean mabadiliko ni yapi?
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Shibuda tena hayumo?
   
 4. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,689
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wamepunguza sana ukubwa wa cabinet. Hongera zao! Kwangu Mimi Gekule Alistahili Waziri kamili.
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mtanange umeanza sasa,kazi ipo jana nilisema wakabisha eti ooh hakuna mabadiliko yako wp
   
 6. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hili halina UDINI?
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Baraza lina watu 22 tu. safi sana. Nimefurahishwa sana na uteuzi wa Rose Kamili kuangalia kilimo na mifugo.
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani ni mwanachama wa CDM?...
   
 9. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,746
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu, mimi nimewapa hongera tu, pamoja na weupe wa elimu wamepata nafasi kubwa za maamuzi.
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mawaziri ni wale wale, majina yaleyale, wizara walizoshikillia kwa muda mrefu zilezile....tumechoka chadema hawana watu wengine???????????
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,831
  Likes Received: 3,104
  Trophy Points: 280
  hongera kwa kummwaga selasini sababu yeye na shibuda mawazo yao hayatofautiani na magamba
   
 12. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo ninaposhangaa.
  Chadema walitoa msimamo wao kuhusu viti maalum kuwa pamoja na vigezo vingine lakin suala la ilmu lilikuwa muhimu sana.

  Je katika hizi nafasi za UWAZIRI wametumia vigezo gani? Skuli au kujuana.

  Vipi kuhusu Mbilinyi na Nyerere na uwaziri wao.
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180

  I dont think so
  It was just a joke kwao ndo maana nikasema hivyo
  Bora mtu awe na elimu ndogo ila awe na busara na kujua anafanya nini na anachangia nini
  Kuliko kuwa na title kubwa eti wewe ni Prof au Dr au una Masters yako ila uchangiaji wako ni wa ajabu sawa na yule ambaye hajaenda shule
  Elimu ya darasani na matumizi yake kwenye real life ni vitu viwili tofauti
   
 14. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  imetulia
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,913
  Likes Received: 9,782
  Trophy Points: 280
  shibuda mwenyewe hajielewi
   
 16. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,361
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ulitaka atoke nani?
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,913
  Likes Received: 9,782
  Trophy Points: 280
  Big up chair
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Baraza kivuli lichukue na wapinzani wengine ili kuondoa kelele kwamba CCM haichukui wapinzani kwenye baraza la Mawaziri
   
 19. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono ,hakuna watu wenye maamuzi mabovu kama hawa wanaoitwa wasomi ....watu wenye elimu za wastani ni wachapakazi wazuri mno.wanashaurika,wanauelewa na wanamchango mzuri hasa kwenye masuala ya kijamii sawa au zaidi ya wasomi.kwa hili la kutanguliza elimu kwenye uteuzi halina mashiko sana mathalani elimu ya mteuliwa ni ya wastani inayoweza kupambanua mambo.
   
 20. b

  buzz Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapo kwa KUB nashauri awe na naibu na kwa Silinde pia. TAMISEMI inataka usimamizi wa kina zaidi.
   
Loading...