BARAZA la Mawaziri Kivuli, Kambi Rasmi ya Upinzani baada ya mabadiliko

Chadema bana mtu hakiwa hana elimu hakiwa kwao ana busara hakiwa sehemu ingine wanamuita Kilaza.

nilipo bold hayo maneno hivi ile GPA ya Sheria uliipataje na ukawa mwanaasheria wa kampuni ya Lau Masha ile law Firm ya IMMA?
 
Kuna Waziri Mmoja Kivuli wa Chadema darasa la 7..

Mkuu Ritz kuna kautaratibu kanazoeleka nchi itauzwa hii, wanasema eti elimu si ya maana kwenye hizo nafasi. tena nasikia huyo mbunge anaanguka sahihi kwa kutumia dole gumba tutafika kweli?
 
Ama kweli ndio maana wanaitwa kivuli. Hapo ni zitto na mnyika tu ndio wana afadhali lakini wengine ni kichekesho. Hivi kweli hawa wanataka wapewe nchi jamani? Mi nadhani wanafikiri nchi ni sawa na disco.
 
Mkuu Ritz kuna kautaratibu kanazoeleka nchi itauzwa hii, wanasema eti elimu si ya maana kwenye hizo nafasi. tena nasikia huyo mbunge anaanguka sahihi kwa kutumia dole gumba tutafika kweli?

Tume ya katiba

Cha kushangaza kwenye kuchangia bajeti bungeni huwezi kukuta hata mbunge mmoja wa Chadema anachambua uchumi zaidi ya Zitto Kabwe wengine ni kuropoka tu.
 
Last edited by a moderator:
Ngeleja?[OTE=Tume ya katiba;4094868]Mkuu Ritz kuna kautaratibu kanazoeleka nchi itauzwa hii, wanasema eti elimu si ya maana kwenye hizo nafasi. tena nasikia huyo mbunge anaanguka sahihi kwa kutumia dole gumba tutafika kweli?[/QUOTE]
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom