Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

kama atashinda jk,basi tusitegemee mabadiliko makubwa sana,maana katiba ni ileile,mambo mengi ya ufisadi ambayo yalijadiliwa kwenye bunge lililopita ndo yameshaishia hapo.yawezekana akaunda serikali kubwa kuliko ile ya awamu ya nne au ikawa ndogo kiasi.
Kutakuwepo na sura mpya nyingi kwenye baraza la mawaziri lakini serikali itakuwa na changamoto kubwa kuliko iliyopita kwa sababu ya wingi wa wabunge wa upinzani ambao wataibana serikali.ni serikali ambayo itakiua ccm au kukipa uhai kutokana na ahadi nyingi alizozitoa jk.kwa sasa jk amejionea mwenyewe changamoto alizozipata na kama wasaidizi wake walimdanganya basi sasa anaujua ukweli kuwa watu wemechoshwa na usanii,kwa hiyo viongozi wengi wa chini na wasio maswahiba wake atwaashughulikia pale wakikosea ili kujirudishia heshima

kwa upande mwingine akishinda dr. Slaa,tanzania itakuwa imezaliwa upya,watu watakuwa na hamu ya kuona mabadiliko ya haraka jambo ambalo litakuwa ni changamoto kubwa sana kwa chadema.tunategemea kuwa utanzishwa mchakato wa kuunda katiba mpya jambo ambalo ni msingi wa kila kitu.tutashuhudia muundo mpya wa uongozi na usimamizi wa mali ya umma.kufumuliwa mikataba ya kifisadi na kuwafikisha wote waliofisadi nchi kwenye vyombo vya sheria.kutakuwepo na baraza dogo la mawaziri ambalo litapunguza matumizi ya kuendesha serikali.kwa kiasi kikubwa watu watakuwa na imani na utawala mpya.ila kutokana na wingi wa wabunge wa ccm serikali ya chadema itapata upinzani mkubwa bungeni.

mbona nashindwa kukuelewa? Unasema akishinda jk, wabunge wa upinzani watakuwa wengi!! Lau akishinda slaa, wabunge wa ccm ndio watakuwa wengi!!!! Hembu nichambulie kidogo nashindwa kuelewa mantiki hiyo!!!
 
JK tutampa Wizara ya mambo ya nje inaonekana anapenda sana kupanda ndege' Slaa 4 President!!
 
jk tutampa wizara ya mambo ya nje inaonekana anapenda sana kupanda ndege' slaa 4 president!!

slaa tutampa wizara mpya ya tunu, lulu na dhahabu maana anaonyesha kupenda sana vitu hivi huwa ktk hotuba zake ni lazima agusie vitu hivi!!!
 
Wana JF,

Kutokana na kuwa JK atashinda kwa asilimia kama 60% hivi, Je baraza lake la mawziri atalifanya la mchanganyiko na upinzani au ni wana CCM wata tawala safu zote za wizara??

Je nani atarudi na nani ata panda?

Mafisadi au viongozi walio kumbwa na kashfa ya UFISADI/MATUMIZI MABAYA YA OFFICE watarudishwa kwenye post katika taasisi mbali mbali au Uwazirir??

Eg EL, Vijisent?
This is not breaking news
 
Nafikiri baraza la mawaziri na waziri mkuu anatoka ktk chama chenye majority bungeni na si chama kilichotoa Rais. Kutokubaliana na ukweli halisia ndicho chanzo kikuu cha umasikini TZ.
 
Mi nadhani mawaziri wote waliopo watarudi kama wakishinda ubunge. Tofauti itakuwa wanaweza wakahamishwa wizara tu. Nadhani sura ngeni zitatokana na nafasi za mawazir waliomaliza muda wao na hawakupata nafasi ya kugombea tena kama J. Bendera na wengine.
 
Hypothetically, if Slaa wins presidency but Chadema fails to attain majority seats kwenye bunge what will happen? Can he pick Prime Minister from CCM (Prime Minister has to be approved by Bunge). Katiba inasema nini?
 
Sitaki kura za wafanyakazi atashinda vp !!!?

Wafanya kazi walisha Rainishwa zamani mkuu wakumbuka siku aliyo anguka JK pale Jangwani ufunguzi wa Kampeni?? Walio wengi wao walikuwa ni wafanya kazi walipewa pesa ili waje kwa mkutano na wakaongezewa mishahara kinyemela.

Kuna watu huku kwa wafanyakazi si watu mkuu wakisha neemeshwa wao hujali maslahi yao tuuu na sio ya jirani yake tena ndicho kiko kwa asilimia kubwa kwa wafanyakazi.

Tatizo watu huwa hawajui mambo, hata Dr. Slaa akiwa President yet viongozi wa mashirka ya umma still watakuwa pale pale hakutokuwa na major changes za kustahajabisha. Kitakacho tizamwa sana ni kuikrabati katiba na mfumo mzima wa utendaji kazi kwanza

 
Hypothetically, if Slaa wins presidency but Chadema fails to attain majority seats kwenye bunge what will happen? Can he pick Prime Minister from CCM (Prime Minister has to be approved by Bunge). Katiba inasema nini?

Navyo jua lazima jina la PM lipitishwe na bunge na lazima tuu litakuwa jina la kutoka CCM to be fair.

Ila kwa wale wanaijua katiba zaidi watufafanulie tujue!!

 
Mawaziri watakao Rudi
1: Magufuri J. Pombe
Wenzako hawataki ukweli kuwa CCM itarudi. Unasumbuka tu, humu wote ni CHADEMAA! Anyway baada ya uchaguzi CCM itarudi imara zaidi na inajifunza mengi sana. Tunashukuru kwa changamoto. Marekebisho yanakuja ndani ya CCM. Kama ni akina Slaa tunao pia ndani ya CCM, just wait. TCHAOOOOOOOO!
 
Wenzako hawataki ukweli kuwa CCM itarudi. Unasumbuka tu, humu wote ni CHADEMAA! Anyway baada ya uchaguzi CCM itarudi imara zaidi na inajifunza mengi sana. Tunashukuru kwa changamoto. Marekebisho yanakuja ndani ya CCM. Kama ni akina Slaa tunao pia ndani ya CCM, just wait. TCHAOOOOOOOO!

Tet teh teh ama kweli wewe umesema ukweli maana wengi humu kweli ni CHADEMA ila cha kushangaza wenzagu Na mimi wanaogopa kuwa wakweli mimi CCM naipa madongo fulu fulu A to Z siwapindishii hata kidogo kama Mwl. Alivyokuwa akiwapa viongozi wa CCM,

Na CCM wemejifunza mpaka Prof:maghembe kukubali kuwa elimu mpaka Form IV ingawa hawataki kuiweka wazi kuwa elimu bure inawezeka naona CCM wameanza kubadirika sasa.

Na Mabadiliko ndani ya CCM yatakuja kiasikwamba wengi humu watabaki kushangaaa na kumpa hongera sana MS bila ubishi 2015 itakuwa CCM tofauti kwahiyo CHADEMA nao wasibweteke hata kidogo maana kuta kuwa na Challenge kubwa sana MUNGU atupe uhai mwaka huo tuone.

 
Back
Top Bottom