Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

tigo mkubwa wee!!!!

Vp Tena Zubeda??

Mbona hasira na huku umechangia vizuri? hold your Temple ndugu, Ni muda sasa wa kutizama Changes za JK je atawakonga mioyo watanzania kwa kuwaweka mawaziri kulingana na ahadi zake na zikatekelezwa na hao mawaziri wapya ambao wewe wazania watatufaaa au laaah maoni yako please?
 
Na hizi ahadi zisizotekelezeka anazotoa Mkuu wa Nchi mwaka huu ndio zinaiweka CCM katika hali ngumu zaidi mwaka 2015.

Mkuu Mwawando,

Kwa upeo wangu mie nadhani hizo ni ahadi za long term plan na mkapa alishawahi tamka wazi tena kwa ujasili alivyokuwa M/Kiti wa CCM na Rais wa TZ kuwa Ilani ya CCM haitekelezeki sasa sielewi hawa CCM hilo swala hawazingatiii hata kuwa na kumbukumbu za viongozi wao wa nyuma wametupa kando.

Wajua kwa Rais makini kwa ushauri wangu mfn una list ya ahadi 10 wewe haidi kama 4 hivi na hakikisha hizo ahadi 4 unazitekeleza na muhula wa pili unakuja na na ahadi zingine zile ulizo bakiza 6 na unawaomba tena ridhaa wananchi kwa mara ya 2 watakupa tuu kwani ulitekeleza kwa umakini.

Ila ahadi zawa zaidi ya 100 khaaaa hapo wananchi wanajua kabisa ni long term plan ndio either kufanyika au kutofanyia na ukizingatia Ilani ya CCM ni ngumu kutekeleza ilani zake inazo tunga
 
Mkuu lets think kwa kile kijacho wewe na mi twajua fika JK atarudi kuwa Rais tukubali tuuu hata mie nilipenda kuwepo na mabadiliko lakini kwa kuangalia upepo JK atakuwa Rais kwa muhula huu wa mwisho.

Je we wadhania mawziri gani watapanda na nani ataporomoka? Mtazamo wako unakuwaje hapo kwa baraza la mawaziri wake??

Mkuu,hizo ndizo fikra ambazo tumekuwa tukizipinga kwa muda mrefu,kuwa hata iweje lazima ccm ishinde.Fikra hizo zimekuwa zikiwavunja watu moyo wasiende kupiga kura maana wanaona ni kupoteza muda.Mwaka huu watu wamepata tumaini jipya na kupata mwamko wa kupiga kura,na wanamwamko wa kuzilinda,siwezi sema nani atashinda,je kuna mbinu za kuiba kura?Labda zipo...lakini mwaka huu watu wamejipanga kulinda kadili iwezekanavyo.Litakalotokea litokee ila tutakuwa tumefanya sehemu yetu.Akishinda Slaa au JK yote ni matokeo.
Kwa hiyo kama bado unafikra za lazima ccm washinde bakia nazo mwenyewe,usiteme sumu kwa wale walioamka.Maana hata Campaign manager wa ccm kasema ushindi si lazima.
 
sija kataaa!!

Ila kila vita kila mwanajeshi anatarajia kushinda hilo jua kwanza, Twahitaji mabadiliko ya pammoja na haya twahitaji sie watz tuijue democrasia vyema na kujua katiba yetu inasemaje na hapo ndipo waTZ wataanza kuamka kabisa na kujua fika we need change seriously lakini hapa watz ni watu wa kuitikia tu na kupuuzia sana ila siku wakigundu walipoteza muda huko nyuma khaaa watajutia sana, na ndio maana matumaini yangu makubwa yanameanza sasa na kuwa na uhakika 2015 kutakuwa na change kubwa sana hapa TZ
 
Waziri mkuu atakua mizengo peter kayanza pinda,mbunge mteule wa mpanda mashariki,kama hamuamini tumuombe mungu atuweke,mtashangaa na nafci zenu kufadhaika.
 
hivi ni mji gani dunniani hauna maeneo ya wazi,sehemu zote zimeuzwa na maafisa Ardhi wanaoitwa wateule.Njooni muone Arusha USA River hata barabara zinauzwa
 
Waziri mkuu atakua mizengo peter kayanza pinda,mbunge mteule wa mpanda mashariki,kama hamuamini tumuombe mungu atuweke,mtashangaa na nafci zenu kufadhaika.

Nakubaliana nawe

Waziri Mkuu = Mizengo Peter Kayanza Pinda

sija kataaa!!

Ila kila vita kila mwanajeshi anatarajia kushinda hilo jua kwanza, Twahitaji mabadiliko ya pammoja na haya twahitaji sie watz tuijue democrasia vyema na kujua katiba yetu inasemaje na hapo ndipo waTZ wataanza kuamka kabisa na kujua fika we need change seriously lakini hapa watz ni watu wa kuitikia tu na kupuuzia sana ila siku wakigundu walipoteza muda huko nyuma khaaa watajutia sana, na ndio maana matumaini yangu makubwa yanameanza sasa na kuwa na uhakika 2015 kutakuwa na change kubwa sana hapa TZ

Kama atashinda Jk,basi tusitegemee mabadiliko makubwa sana,Maana katiba ni ileile,mambo mengi ya ufisadi ambayo yalijadiliwa kwenye bunge lililopita ndo yameshaishia hapo.Yawezekana akaunda serikali kubwa kuliko ile ya awamu ya nne au ikawa ndogo kiasi.
Kutakuwepo na sura mpya nyingi kwenye baraza la mawaziri lakini serikali itakuwa na changamoto kubwa kuliko iliyopita kwa sababu ya wingi wa wabunge wa upinzani ambao wataibana serikali.Ni serikali ambayo itakiua ccm au kukipa uhai kutokana na ahadi nyingi alizozitoa JK.Kwa sasa JK amejionea mwenyewe changamoto alizozipata na kama wasaidizi wake walimdanganya basi sasa anaujua ukweli kuwa watu wemechoshwa na usanii,kwa hiyo viongozi wengi wa chini na wasio maswahiba wake atwaashughulikia pale wakikosea ili kujirudishia heshima.

Kwa upande mwingine akishinda Dr. Slaa,Tanzania itakuwa imezaliwa upya,watu watakuwa na hamu ya kuona mabadiliko ya haraka jambo ambalo litakuwa ni changamoto kubwa sana kwa Chadema.Tunategemea kuwa utanzishwa mchakato wa kuunda katiba mpya jambo ambalo ni msingi wa kila kitu.Tutashuhudia muundo mpya wa uongozi na usimamizi wa mali ya umma.Kufumuliwa mikataba ya kifisadi na kuwafikisha wote waliofisadi nchi kwenye vyombo vya sheria.Kutakuwepo na baraza dogo la mawaziri ambalo litapunguza matumizi ya kuendesha serikali.Kwa kiasi kikubwa watu watakuwa na imani na utawala mpya.Ila kutokana na wingi wa wabunge wa ccm serikali ya chadema itapata upinzani mkubwa bungeni.
 
hivi ni mji gani dunniani hauna maeneo ya wazi,sehemu zote zimeuzwa na maafisa Ardhi wanaoitwa wateule.Njooni muone Arusha USA River hata barabara zinauzwa

Tatizo la Huo mji wenu Arusha mlibweteka sana na kujisahau kuwa mji wowote utakao maendeleo watakiwa kuwa na Mipangilio ya kimji ili ukuwe vyema sasa tatizo la hapo ni wenyeji walikalia Aridhi muda mrefu mpaka sasa na wanauza kwa watu bei ghari

Pili Manispaa yenu haina watu makini wote ni wanakuja kuchuma na wajanja wachache wa mji huo mji hauna barabara jamani na bado mwataka kuliita JIJI khaaaa. na kila mwaka mtakuwa mwaambiwa limekuwa JIJI na baaadae halina hadhi ya kuitwa JIJI mwatolewa kwa orodha ya JIJI huo ndio utakao kuwa mpira wenu huo usio isha kamwe.
 
Akishinda mkwere basi mjue mafisadi wote wanarudi. Awamu ya lala salama huwa ni ya kujilimbikizia angalia Nkapa!
 
Tatizo la Huo mji wenu Arusha mlibweteka sana na kujisahau kuwa mji wowote utakao maendeleo watakiwa kuwa na Mipangilio ya kimji ili ukuwe vyema sasa tatizo la hapo ni wenyeji walikalia Aridhi muda mrefu mpaka sasa na wanauza kwa watu bei ghari

Pili Manispaa yenu haina watu makini wote ni wanakuja kuchuma na wajanja wachache wa mji huo mji hauna barabara jamani na bado mwataka kuliita JIJI khaaaa. na kila mwaka mtakuwa mwaambiwa limekuwa JIJI na baaadae halina hadhi ya kuitwa JIJI mwatolewa kwa orodha ya JIJI huo ndio utakao kuwa mpira wenu huo usio isha kamwe.

We wa ajabu kweli yaani ulitawa wenyeji wetoe ardhi bure! mbuna hapa Dar watu wanafidiwa kama kuna ujenzi. Halafu unazunguza kama vile Arusha ina hela zake tofauti na mikoa mingine wakati hela zinatoka central government. Arusha inainginza mabilioni ya dola kila mwaka kwa shughuli za kitalii, lakini hela yote inakuja hazina. Sijui hata unaongea kitu gani wewe!:A S angry:
 
Wana JF,

Kutokana na kuwa JK atashinda kwa asilimia kama 60% hivi, Je baraza lake la mawziri atalifanya la mchanganyiko na upinzani au ni wana CCM wata tawala safu zote za wizara??

Je nani atarudi na nani ata panda?

Mafisadi au viongozi walio kumbwa na kashfa ya UFISADI/MATUMIZI MABAYA YA OFFICE watarudishwa kwenye post katika taasisi mbali mbali au Uwazirir??

Eg EL, Vijisent?

Wezi wakubwa wa kura ninyi, nani kakuambia atashinda, akiwa mshindi wa tatu ni bahati yake, lazima awe nyuma ya Mziray utaona tu.:nono:
 
baraza la Mawaziri:
1. Waziri Mkuu - FISADI NYANGUMI
2. Waziri wa Afya- FISADI PAPA
3. Waziri wa elimu ya Juu- FISADI MKURUPUKAJI
4. Waziri wa miundo mbinu- FISADI MUWANGA
n.k unaweza kumalizia waliobakia
 
Kuna dalili nyingi kuwa EL atarudi kwa namna yeyote ili kutengeneza njia for 2015. Kutokana na ego hawezi kurudi barazani kwa nafasi chini ya ile aliyoondoka nayo. Hata hivyo naamini kutokana na kuongezeka kwa wingi wa wabunge wasiokuwa CCM si rahisi akapita. Kwakuwa Chenge ameshaandaliwa kuwa spika kama atashindwa kuclear matatizo yake mahakamani basi there is a great chance El achukue hiyo nafasi.

Hatahivyo there still is a chance EL akachukua nafasi out of desperation kwa ajili ya kujiandaa na 2015.
 
Mi nadhani swali lingeulizwa hivi "BAADA YA DR SLAA KUINGIA MJENGONI NA KWA BAHATI MBAYA AU NZURI MHESHIMIWA R. A. AKASHINDA HUKO UNYAMWEZINI, JE ATAENDELEA KUWAWAKILISHA WADANGANYIKA WA HUKO IGUNGA AU ATALALA MBELE KUSIKOJULIKANA
 
CCM are now lagging behind by 1 vote, that is mine! jethro una moyo wewe! Yaani joto lote hili unasema mtashinda asilimia zote hizo. Lakini afadhali wewe kuliko ustaadhi MS
 
Back
Top Bottom