Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Kutokana na kuwa JK atashinda kwa asilimia kama 60% hivi, Je baraza lake la mawziri atalifanya la mchanganyiko na upinzani au ni wana CCM wata tawala safu zote za wizara??

Je nani atarudi na nani ata panda?

Mafisadi au viongozi walio kumbwa na kashfa ya UFISADI/MATUMIZI MABAYA YA OFFICE watarudishwa kwenye post katika taasisi mbali mbali au Uwazirir??

Eg EL, Vijisent?
 
Hakuna ushindi kwa thithiem! Watanzania tumechoshwa na usanii, labda wasubiri 2015.
 
Keshataja na 60. Kwa kura za Tunduma. Voters papers found in a truck ambayo badae waliificha. Wakatuonyesha vipodozi.
Kaka, bila hila zenu za sisiem, hamtashinda
 
hata mkapa alishinda kwa 60% mwaka 1995 na baraza la mawaziri lote lilitokana na ccm na katiba ya nchi inaruhusu hivyo! Kuhusu baraza la mawaziri mimi ningemshauri jk asiwarudishe uwazirini wale wote waliohusika na kashfa mbalimbali aidha ingekuwa ni kwa maslahi ya taifa kama jk akawaingiza profesa lipumba na dr.slaa ktk baraza lake la mawaziri!
 
crap cola
 
Ha ha haaa!
Zubeda bibie nimekuzimia! Nasubiri appointment tu!
 
Hakuna ushindi kwa thithiem! Watanzania tumechoshwa na usanii, labda wasubiri 2015.

CCM will no more be in the election 2015 my buddy, watakuwa wameisha poteza mwelekeo kabisa 2015 kwa hali kama nilio iona leo nilipo fika arusha kwa viwanja vya NMC CCM wanahaja ya kujipanga upya la sivyo hataichungulia 2015 tuu

hata mkapa alishinda kwa 60% mwaka 1995 na baraza la mawaziri lote lilitokana na ccm na katiba ya nchi inaruhusu hivyo! Kuhusu baraza la mawaziri mimi ningemshauri jk asiwarudishe uwazirini wale wote waliohusika na kashfa mbalimbali aidha ingekuwa ni kwa maslahi ya taifa kama jk akawaingiza profesa lipumba na dr.slaa ktk baraza lake la mawaziri!

Kwa mara ya kwanza nakubaliana nawe, lakini kwa taarifa tu huu ni mwaka wa mabadiliko makubwa nchini ya kisiasa. Hivyo kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu tutakuwa na Rais toka chama tofauti kama tulivyozoea karibu nusu karne sasa.
 
Keshataja na 60. Kwa kura za Tunduma. Voters papers found in a truck ambayo badae waliificha. Wakatuonyesha vipodozi.
Kaka, bila hila zenu za sisiem, hamtashinda

Mkuu lets think kwa kile kijacho wewe na mi twajua fika JK atarudi kuwa Rais tukubali tuuu hata mie nilipenda kuwepo na mabadiliko lakini kwa kuangalia upepo JK atakuwa Rais kwa muhula huu wa mwisho.

Je we wadhania mawziri gani watapanda na nani ataporomoka? Mtazamo wako unakuwaje hapo kwa baraza la mawaziri wake??

Wana JF,

Kutokana na kuwa JK atashinda kwa asilimia kama 60% hivi, Je baraza lake la mawziri atalifanya la mchanganyiko na upinzani au ni wana CCM wata tawala safu zote za wizara??

Je nani atarudi na nani ata panda?

Mafisadi au viongozi walio kumbwa na kashfa ya UFISADI/MATUMIZI MABAYA YA OFFICE watarudishwa kwenye post katika taasisi mbali mbali au Uwazirir??

Eg EL, Vijisent?

What a pipe-dream!
 
Hahahahah hutaki kuingia kichwa kichwa :whoo:

Ama kweli hataki kuingiza kichani hilo swala la mawaziri ati duuuh! nadhani pia tufikilie mtazamo wa JK pia katika baraza lake la mawaziri kama atatuwekea chakachua zake kama waliopita na wakavurunda kwa muda mchache kama wakina EL,Msabaha,Karamagi, Chenge!!!

CCM will no more be in the election 2015 my buddy, watakuwa wameisha poteza mwelekeo kabisa 2015 kwa hali kama nilio iona leo nilipo fika arusha kwa viwanja vya NMC CCM wanahaja ya kujipanga upya la sivyo hataichungulia 2015 tuu

Na hizi ahadi zisizotekelezeka anazotoa Mkuu wa Nchi mwaka huu ndio zinaiweka CCM katika hali ngumu zaidi mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom