Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,142
Yaani ndio ukweli wenyewe. Mto Pangani/Pangani river basin yote kutakuwa na matatizo mengi sana sababu the entire ecosystem will be affected. Watu wanadhani ni mzaha lakini itakuwa balaa mkuuBarafu ikikauka maana yake mito inayopata maji kutokana na barafu ya mlima nayo itakauka.
hiyo imekaa kaa kama photoshop
Acha ubishi nenda mwenyewe Kilimanjaro ukajionee Usilete Ubishi wa Simba na Yanga hapa.hiyo imekaa kaa kama photoshop
Acha ubishi nenda mwenyewe Kilimanjaro ukajionee Usilete Ubishi wa Simba na Yanga hapa.
Acha ubishi nenda mwenyewe Kilimanjaro ukajionee Usilete Ubishi wa Simba na Yanga hapa.
Piga picha uweke hapa tuone si kusema pasipo kuwa na ushahidi wowote ule.Daah!! Mzizi mie nimeuona mlima Kilimanjaro leo hii, kwanza hauonekani sana siku hizi sababu ya mawingu mengi ila umejaa barafu mpaka ule mdogo wa Mawenzi!! We njoo uhakikishe uone then uniulize hiyo picha imepigwa wapi na lini!!
Hebu tembelea hapa bonyeza Barafu la Mlima Kilimanjaro lakauka Mlima mweupeee. ~ LUCY PATRICK WATZDanganya wanaokaa pwani ila sisi wa moshi hutupati mlima tena ndo umejaa barafu wewe unaleta mada ya uongo! SHAME