Barafu la Mlima Kilimanjaro lakauka, mlima mweupeee

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
Mafoto3.jpg


Taswira ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uhalibifu wa Mazingira uliokithiri
 
hiyo imekaa kaa kama photoshop

[h=1]Kilimanjaro's Snows Gone by 2022[/h]By John Roach
for National Geographic News

This story is part of a special series that explores the global water crisis. For more clean water news, photos, and information, visit National Geographics Freshwater Web site.
Ernest Hemingway must be reaching for a bottle of grappa in his grave. The snows of Kilimanjaro-inspirations for a Hemingway story of the same name-could be gone by 2022, a new study confirms.
The ice atop Kilimanjaro "continues to diminish right on schedule for disappearing, unfortunately, in the next couple of decades," said glaciologist Lonnie Thompson at Ohio State University in Columbus.
For decades scientists have documented the disappearing glaciers on Kilimanjaro, whose peak is Africa's highest point.
Whether Kilimanjaro's ice loss is due to global warming or more local factors, though, has been a point of debate. Some studies have suggested the ice loss is due primarily to what some see as local factors: less snowfall and more sublimation-a process that turns ice directly into water vapor at below freezing temperatures.
The new study appears to strengthen the argument that global warmingis to blame-and that, in addition to sublimating the ice atop Africa's tallest mountain, rising global temperatures are also melting the ice.
"What we are seeing on Kilimanjaro is global climate change," Thompson said.
(Another view: "Kilimanjaro's Glaciers May Last Longer Than Predicted"[2007].)
Kilimanjaro's Disappearing Ice "Part of Climate Change"
According to Thompson, the drier and less cloudy conditions leading to sublimation on Tanzania's Kilimanjaro are part of a suite of changes driven by global warming.
"You change the temperature profile of this planet, you are going to change precipitation and cloudiness and humidity and temperature," he said. "Those are all part of climate change.
"And so to say that that Kilimanjaro is not responding to global climate change is untrue."
Kilimanjaro's Thinning Ice Is Deceptive
Thompson and his colleagues have studied Kilimanjaro's dwindling ice for several decades.
The mountain, they say, has lost 85 percent of its glacial ice since 1912. What's more, 26 percent of the ice that remained in 2000 was gone by 2007, the last time Kilimanjaro's ice was precisely mapped.
Findings published today by the journal Proceedings of the National Academy of Sciences.
 
Acha ubishi nenda mwenyewe Kilimanjaro ukajionee Usilete Ubishi wa Simba na Yanga hapa.

hatua madhubuti zichukuliwe kulinda misitu,vyanzo vya maji na kutoruhusu shuguli za kibinadamu kama kukata miti karibu na eneo ilo,hiyo barafu imekuwepo kwa zaidi ya karne na karne ni aibu sana hikipotea kwa makosa tunayofanya,kizazi kijacho watatulaani sana wakisoma vitabu na kugundua kwamba kulikuwa na barafu tukahiaribu
 
Daah!! Mzizi mie nimeuona mlima Kilimanjaro leo hii, kwanza hauonekani sana siku hizi sababu ya mawingu mengi ila umejaa barafu mpaka ule mdogo wa Mawenzi!! We njoo uhakikishe uone then uniulize hiyo picha imepigwa wapi na lini!!
Piga picha uweke hapa tuone si kusema pasipo kuwa na ushahidi wowote ule.
 
Uwe hauna barafu au la nadhani kuna haja ya viongozi wetu kuwa makini na si kuongea tu kwenye majukwaa ya kisiasa kutaja sheria nyiiingi, kisha hakuna ufuatiliaji hii ni aibu kwa taifa letu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom