Baracka da Prince yupo busy na Najma, amesahau hata muziki

Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike
msukuma mbele ya mwanamke mweupe ni kama nguruwe kwenye muwa au ngedele kwenye ndizi au Madimba jr na celeb forum
 
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike

Bongo fleva hailipi jamani, wasanii wa kibongo wanaishi maisha fake mno. Kijana ana akili sana kujituliza.
 
Mleta mada ndiye Baraka mwenyewe (da pincess sijuwi). Fikira zangu huru zimenieleza hiyvo.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom