Ukiwa na wivu Sana mwishowe unajitundika
Na baada Tu ya 28 October, mtaanza kusema yaleyale ya Mbowe,Aachie ngazi
Sijui Watanzania ni waoga Sana
JPM Sjui dikiteta
Sijui Kwa nini police wametuzuia maandamano
Sababu kibaaao hakuna hata la maana
Magufuli hajadororesha Jumuiya pekee bali nchi yetu pia ingawa Chama chake kinamkweza sana aonekane amefanya mengi kumbe hakuna kitu bali maneno tu mengi. Anatakiwa akapumzike tumsahau.
Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Wekeni document zikionyesha EAC walifadhili mradi. Acha mambo ya kuhisiWatu wajinga walishaisha siku nyingi. Jazba hazikubebi kwenye ukweli.
Sijaona rais mwongo na asiyejali anachozungumza sijui anafikiri watu ni wajinga kama yeye? Nani asiyejua kuwa barabara ya Arusha-Moshi ni chini ya EAC na tena ilipaswa kuwa imefika Moshi hadi Holili ila imesimamishwa baada ya jiwe kuingia madarakani kwani maendeleo ya kaskazini anaona siyo jukumu lake na hayana maana? Mpuuzi.Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.
Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?
Wapiga kura kazi mnayo
Wewe ni akili mbovu kama polepole.Wekeni document zikionyesha EAC walifadhili mradi. Acha mambo ya kuhisi
Hayo yote ya nini? Gambo kama mkuu wa mkoa aliweka presha barabara ijengwe.Wewe ni akili mbovu kama polepole.
Tena njiwa pori.Ila kigogo Twitter ana matusi anasema jamaa Mgonjwa bullet proof inamfanya awe na kamwili mapaja yamebaki kama miguu ya njiwa. Kigogo atakuwa tu mzaramo
Gambo amekuta barabara ikijengwaNimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.
Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?
Wapiga kura kazi mnayo
EAC ipo before kikwete..imeanzishwa mkapa akiwa madarakani. Unasema bila magufuli? Yeye ndio alianzisha?Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Mh! Mbona ulichokomenti hakiusiani kabisa na uzi huu ...Ukiwa na wivu Sana mwishowe unajitundika
Na baada Tu ya 28 October, mtaanza kusema yaleyale ya Mbowe,Aachie ngazi
Sijui Watanzania ni waoga Sana
JPM Sjui dikiteta
Sijui Kwa nini police wametuzuia maandamano
Sababu kibaaao hakuna hata la maana
Barabara ilianza kujengwa hata kabla ya gambo kuqa Rc. Sasa yeye aliweka presha wapi?Hayo yote ya nini? Gambo kama mkuu wa mkoa aliweka presha barabara ijengwe.
Unajua ilianza lini?Barabara ilianza kujengwa hata kabla ya gambo kuqa Rc. Sasa yeye aliweka presha wapi?
Du!!!Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Nasisitiza,tumia akili kuwa mradi unao promote mandeleo EAC sio sababu ya Gambo kuupigia debe.Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.
Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?
Wapiga kura kazi mnayo
Yes. Mradi umeanza 28 Nov 2012. Gambo alikuwa wapi by then?Unajua ilianza lini?
Aliyepewa kuandika alikosea, itasahihishwa asante kwa taarifa.Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.
Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?
Wapiga kura kazi mnayo