Wahandisi wa barabara mpo? Mbona hii barabara mpya inatumaliza sisi wananchi na nyie mnaangalia? Upembuzi yakinifu ni mbaya kabisa kwani kwenye makutano ni ajali kila siku kuanzia Lugalo hadi Mbuyuni.
Hatua stahiki zichukuliwe kurekebisha hizi kasoro.
Madereva nao wazingatie kiwango cha mwendo uliowekwa kwenye mabango!
Hatua stahiki zichukuliwe kurekebisha hizi kasoro.
Madereva nao wazingatie kiwango cha mwendo uliowekwa kwenye mabango!