Barabara ya New Bagamoyo

Barabara ya New Bagamoyo

Nashukuru Sana pembe kwa kuliona hili. Tatizo la barabara hii Ni sehemu ya masana, africana na mbuyuni. Tunawaomba wahusika waweke alama Kama Ni round au taa za kuongoza magari. Haya maeneo Ni hatari jamani. Halafu jambo ambalo nashindwa kuelewa Ni hizi alama za no-u-Turn sehemu zote kwenye barabara hii. Please nieleweshe.
 
Madereva wa Kitanzania 80% wanapata leseni bila mtihani wa udereva.
 
Nashukuru Sana pembe kwa kuliona hili. Tatizo la barabara hii Ni sehemu ya masana, africana na mbuyuni. Tunawaomba wahusika waweke alama Kama Ni round au taa za kuongoza magari. Haya maeneo Ni hatari jamani. Halafu jambo ambalo nashindwa kuelewa Ni hizi alama za no-u-Turn sehemu zote kwenye barabara hii. Please nieleweshe.

Nami nashangaa Sana hizi alama za uturn hasa kwa sisi tunaokaa maeneo ya katikati na tunataka kwenda upande WA pili hawaelekezi au hawajapanua barabara kidogo ili tuweze kwenda upande WA pili.Hata hizi barabara za pembeni ili upite mpaka kwenye myoosho WA barabara ili uingie upande WA pili Ni mbaya na zina mashimo makubwa Ana azipitiki.Hivi serekali imepokea hii barabara kweli na mapungufu yote hayo!
 
Tumeshazoea shida mwanzo mwisho...bora hyo old bagamoyo Road kuliko barabara ya uhuru kariakoo..
 
Back
Top Bottom