Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,037
- 60,222
Uendeshaji wa bongo bwana,mtu anahama upande hata bila kuindicate.Hiki ni kishindo cha awamu ya 5 chini ya Rais mpendwa magufuli.
Maendeleo hayana chama.
View attachment 1463551
Uendeshaji wa bongo bwana,mtu anahama upande hata bila kuindicate.Hiki ni kishindo cha awamu ya 5 chini ya Rais mpendwa magufuli.
Maendeleo hayana chama.
View attachment 1463551
Wivu huo[emoji42][emoji42]Tatizo letu ni fikra. Nimewahi kujenga nyumba ya 50m mkoa flani kwa kutumia mafundi wazalendo ile nyumba natamani kuibomoa. Lakini nilipochukua mafundi kutoka nje nilijenga nyumba nzuri sana kwa ile ile 50m. Fedha zilizotumika kujenga kadaraja ka Ubungo hizo hizo zingeweza kujenga fyover nzuri zaidi.
Angalia wenzetu Namibia ka-nchi kadogo kabisa kenye watu wasiozidi 2.5 milioni na kenye ukame mkubwa na umaskini lakini angalia mipango yao ya barabara hapa;
View attachment 1464548
View attachment 1464542
View attachment 1464544View attachment 1464545View attachment 1464546
Hebu kakate vichwa dagaa wako upike na Ugali... Bila shaka njaa inakuuma.. 😳So what?🤔 Mtaiita Magufuli flyovers, Majaliwa flyovers au Makonda flyovers?
Kama tu hiyo interchange ya ubungo mpaka tukope world bank unadhani hivyo unavyotamani utaviweza wewe?
Nmekuona..Kuna watu wapuuzi Sana humu jfUmeona like yangu huko?
Kama imekuudhi kaibomoe au hama nchi nenda huko kulioendelea! Sina muda na walalamikaji. Period!WAMEKOPA kwa sababu wameamua kukopa.
Wanapoenda kununua V8 ya 400milion kila moja, wanakopa ?????
Na kila mwaka wananunua hayo ma luxury grade, high-maintanance, gas guzzling, self-serving equipment mangapi na lile daraja limetumia shilingi ngapi na wamejenga mangapi ndani ya miaka mingapi toka uhuru ????????
Give me a break.
Hutakiwi kusimama kwenye mataa wala kukutana na askari kwenye flyover!
Wametujengea kitu kibovu cha kinyonge, tuendelee kuwa wanyonge, waendelea kutuita wanyonge.
Mkuu huu utopolo uliouweka hapa woote unapatikana pale mbezi pakikamilika na nyongeza juuTatizo letu ni fikra. Nimewahi kujenga nyumba ya 50m mkoa flani kwa kutumia mafundi wazalendo ile nyumba natamani kuibomoa. Lakini nilipochukua mafundi kutoka nje nilijenga nyumba nzuri sana kwa ile ile 50m. Fedha zilizotumika kujenga kadaraja ka Ubungo hizo hizo zingeweza kujenga fyover nzuri zaidi.
Angalia wenzetu Namibia ka-nchi kadogo kabisa kenye watu wasiozidi 2.5 milioni na kenye ukame mkubwa na umaskini lakini angalia mipango yao ya barabara hapa;
View attachment 1464548
View attachment 1464542
View attachment 1464544View attachment 1464545View attachment 1464546
Nani humkubali mkuu?Huyu baba
Huyu baba namkubali, Mungu akulinde
Unataka iitwaje MkuuSo what?[emoji848] Mtaiita Magufuli flyovers, Majaliwa flyovers au Makonda flyovers?
Wivu tu...Nani humkubali mkuu?
Lami zilitandikwa ndio maana madaraja yanajengwa. Na hiyo ni miradi ambayo ilikua tayari imeshachukuliwa mikopo kabla hajaingia. Issue ni kwamba imejengwa wakati yeye yupo madarakani.
Wakushukuliwa ni wale waliotoka nje wakaona wenzao wanafanyaje sehemu zenye makutano.
Kwa upande wangu nawapongeza watanzania waaminifu kwenye kulipa kodi maana ndio wawezeshaji.
Hayo mengine ni siasa tunawaachia nyie
Akili za kushikiziwa hizo!Nasikia kesho mbowe ana mkutano na waandishi wa habari ajenda kuu zitakuwa
1 kulaani ugawaji wa tausi
2 kulaani kuanza kutumika kwa flyover ya ubungo