Mkuu, interchange ya ubungo imekukosea nini? Simple but it serves 90% of the one you dream of...Miradi mingi ya ujenzi tunayofanya ni simplistic mno. Hata ile flyover ya Tazara haina tofauti na kadaraja ka mto. Inashangaza makutano makubwa nchi kama ya Ubungo kuwa na ka-simplistic interchanger kama hako!
Inashangaza jiji kubwa la Dar es Salaam lenye watu zaidi ya 6m na projection ya kuwa moja kati ya majiji makubwa zaidi (mega cities) by 2050 leo hii tunajenga vibarabara vya hovyo na viwanjwa vya ndege vidogo vilivyopaswa kujengwa Kigoma, Mbeya, Bukoba, etc.
Inashangaza mradi wa matrillioni kama wa SGR kuwa wa reli ya njia moja (single track railway)! Treni inayotoka Dar kwenda Moro inabidi isimame katika kila kituo kwa muda hata dakika 20 kusubiri treni inayotoka upande mwingine. Treni za single track zilijengwa na wajerumani mwaka 1905 wakati population ya watu Tanganyika ikiwa chini ya 2million na inshangaza tunajenga vitu kama hivyo miaka zaidi ya 120 baadaye wakati tukijitawala na idadi ya Watanzania ikiwa takribani 60 million!
Naweza kuendelea kutaja miradi mingi tu jinsi tunavyojenga kama vile tunajenga nyumba za makuti kwa ajili ya muda mfupi tu. Tunapoteza matrilioni yetu ya kukopa kwa kutokuwa na maono. Nasema hatuna maono! Hatujaweza kupangilia miji yetu yote tangu aondoke mkoloni. Huwezi amnini mipango miji iliyopo ni ile waliyofanya wajerumani miaka 1890 na waingereza 1930! Manzese, Changanyikeni, Buguruni, Kwa Morombo, Nyegezi, Mabogini, nk ndipo "tulipopanga" tangu uhuru!
Watu Ni wajinga sana...hicho kidaraja kimejengwa na tofali njia mbili..wakati ubungo ni njia sita...huku na huko...alaf wanaleta upupu hapaHivi ulishawahi kuona hako ka daraja ka nairobi, wala siyo ya duara ni robo duara. Angalia hapo down
View attachment 1464528I😃😃😃😃
View attachment 1464529
Hivi kweli mtu unakuja na upupu wako kwamba ubungo interchange imekosewa kwa kulinganisha na hivi vidaraja kweli. Hvi vidaraja vya nairobi si leval yake ni Mfugale flyover.
Tatizo letu ni fikra. Nimewahi kujenga nyumba ya 50m mkoa flani kwa kutumia mafundi wazalendo ile nyumba natamani kuibomoa. Lakini nilipochukua mafundi kutoka nje nilijenga nyumba nzuri sana kwa ile ile 50m. Fedha zilizotumika kujenga kadaraja ka Ubungo hizo hizo zingeweza kujenga fyover nzuri zaidi.Unajikuna mkono unapofikia mzee baba..Kama uwezo wako Ni wa vits utaacha kununua Lisa Kuna V8. Tuache maisha ya kubeza beza...
Yah..hapa kipindi kile Magu anasema barabara ya Kimara inahitaji mita 100, watu walipinga mitandaoni kwamba Ni Pana sana..wakati wenzetu wanaacha maeneo ya kutosha as road reserveTatizo letu ni fikra. Nimewahi kujenga nyumba ya 50m mkoa flani kwa kutumia mafundi wazalendo ile nyumba natamani kuibomoa. Lakini nilipochukua mafundi kutoka nje nilijenga nyumba nzuri sana kwa ile ile 50m. Fedha zilizotumika kujenga kadaraja ka Ubungo hizo hizo zingeweza kujenga fyover nzuri zaidi.
Angalia wenzetu Namibia ka-nchi kadogo kabisa kenye watu wasiozidi 2.5 milioni na kenye ukame mkubwa na umaskini lakini angalia mipango yao ya barabara hapa;
View attachment 1464548
View attachment 1464542
View attachment 1464544View attachment 1464545View attachment 1464546
pascal mayalla flyoverSo what?🤔 Mtaiita Magufuli flyovers, Majaliwa flyovers au Makonda flyovers?
Maskini Mungu wangu!! BAVICHA ndio mmefirisika kifkra hivi!!!So what?[emoji848] Mtaiita Magufuli flyovers, Majaliwa flyovers au Makonda flyovers?
Mkuu we endelea kuota na kulalamika sisi tunasonga mbele. Maendeleo ni hatua kna hatua moja uanzisha nyingine.Miradi mingi ya ujenzi tunayofanya ni simplistic mno. Hata ile flyover ya Tazara haina tofauti na kadaraja ka mto. Inashangaza makutano makubwa nchi kama ya Ubungo kuwa na ka-simplistic interchanger kama hako!
Inashangaza jiji kubwa la Dar es Salaam lenye watu zaidi ya 6m na projection ya kuwa moja kati ya majiji makubwa zaidi (mega cities) by 2050 leo hii tunajenga vibarabara vya hovyo na viwanjwa vya ndege vidogo vilivyopaswa kujengwa Kigoma, Mbeya, Bukoba, etc.
Inashangaza mradi wa matrillioni kama wa SGR kuwa wa reli ya njia moja (single track railway)! Treni inayotoka Dar kwenda Moro inabidi isimame katika kila kituo kwa muda hata dakika 20 kusubiri treni inayotoka upande mwingine. Treni za single track zilijengwa na wajerumani mwaka 1905 wakati population ya watu Tanganyika ikiwa chini ya 2million na inshangaza tunajenga vitu kama hivyo miaka zaidi ya 120 baadaye wakati tukijitawala na idadi ya Watanzania ikiwa takribani 60 million!
Naweza kuendelea kutaja miradi mingi tu jinsi tunavyojenga kama vile tunajenga nyumba za makuti kwa ajili ya muda mfupi tu. Tunapoteza matrilioni yetu ya kukopa kwa kutokuwa na maono. Nasema hatuna maono! Hatujaweza kupangilia miji yetu yote tangu aondoke mkoloni. Huwezi amnini mipango miji iliyopo ni ile waliyofanya wajerumani miaka 1890 na waingereza 1930! Manzese, Changanyikeni, Buguruni, Kwa Morombo, Nyegezi, Mabogini, nk ndipo "tulipopanga" tangu uhuru!
Kama tu hiyo interchange ya ubungo mpaka tukope world bank unadhani hivyo unavyotamani utaviweza wewe? Acheni ujinga bwana tufanye kile kinachowezekana kwa sasa. Mbona hamlaumu kwamba tuna maghorofa machache marefu serikali ijenge maghorofa mengi marefu ili tufanane na nchi zilizoendela?
Sidhani kama atakujibuHivi ulishawahi kuona hako ka daraja ka nairobi, wala siyo ya duara ni robo duara. Angalia hapo down
View attachment 1464528I[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
View attachment 1464529
Hivi kweli mtu unakuja na upupu wako kwamba ubungo interchange imekosewa kwa kulinganisha na hivi vidaraja kweli. Hvi vidaraja vya nairobi si leval yake ni Mfugale flyover.