Barabara ya Juu (Flyover) Ubungo yaanza kutumika

Barabara ya Juu (Flyover) Ubungo yaanza kutumika

Wenye wivu watakuwepo tu. Hatuwezi kujenga kama Singapore au New York hivi sasa kutokana na kiasi cha magari tuliyonayo ni machache sana hivyo tunajenga kukidhi matakwa ya sasa.
 
Sasa hivi nikiwa namalizia kuvaa namwambia Mtu nipo Ubungo..
yaani sasa hivi ni kuteleza tu
 
Haya mawazo yako yanafanana kabisa na ya kwangu! Awamu hii kuna baadhi ya mambo yanakera sana. Yaani hiyo flyover imejengwa kwa kodi zetu, lakini pongezi anapewa mtu mmoja tu ambaye tuliambiwa hata mshahara wake tu wa mwezi haukatwi kodi!

By the way, nini uwepo wa Serikali! Kujisifia na kusubiri pongezi au ni kuwaletea wananchi maendeleo? Awamu iliyopita haya mambo hayakuwepo kivile! Sijajua ni kwa nini awamu hii unafiki unawatafuna sana Watanzania. Kila kitu, pongezi kwa Jpm!! Mpaka inachosha.
Kwani lazima usikilize hizo pongezi, kama hutaki kuzisikia si unauchuna tu. Wakati wa JK tulikuwa tunasifia sana kinyumenyume sema wewe ulikuwa husikii tu rushwa, meno ya tembo, madawa ya kulevya, watumishi hewa, mikataba mibovu kama bandari ya bagamoyo, ubadhirifu wa mali za umma, huduma mbovu kwenye taasisi za serikali na madudu mengine mengi. Kwa mtindo wako huo mpaka miaka mingine mitano ya JPM ije iishe nina wasiwasi utakuwa na shinikizo la damu (BP). Pole baba tuvumiliane tu kwa kipindi hiki.
 
Mzee anatusogeza, angalau sasa kuna mambo tunayaona
 
Natia changamoto na kuwafungua watz akili kwa kweli tupo maporini sana. Unaona ikulu mpya jiwe amecopy na kupest ile iliyojengwa na wakoloni mwaka 1890! Copy and paste! Kwenye hotuba yake Dom hana cha pekee zaidi ya kusema eneo la ikulu litakuwa acre 8,000 na ni kubwa kuliko yote Africa, hicho sio cha kujivunia, cha kujivunia ni architecture sio ukubwa wa pori linalozunguka ikulu.
Kwani kumaintain design ya jengo Kuna kosa? Kwani unafikiri wamarekani wanashinda kujenga ikulu mpya?why Whitehouse ipo vile vile haibadilishwi?
 
Back
Top Bottom