Barabara ya Juu (Flyover) Ubungo yaanza kutumika

Hii itaitwa Mbowe au Mnyika flyover ili mfurahi. Maana mnajifanya kuchukia halafu foleni zikiisha mnawahi ufipa kwenu kufuata malipo. So what, dont you see what is happening there to save people time and fuel
Sijui huwa tunakoseaga wapi? Tulipaswa kujenga flyover ya uhakika mbona hatujafikia hata hii ndogo tu ya Kenya?
1590864227184.png
 
Cha ajabu nn hapo mkuu....Yani kwakuwa imekua ya duara ndo imekuchanganya ama? Ya kwetu is the best ukilinganisha na hup ujinga ulinionyesha hapo if umewahi fika I'll eneo lakn
Miradi mingi ya ujenzi tunayofanya ni simplistic mno. Hata ile flyover ya Tazara haina tofauti na kadaraja ka mto. Inashangaza makutano makubwa nchi kama ya Ubungo kuwa na ka-simplistic interchanger kama hako!

Inashangaza jiji kubwa la Dar es Salaam lenye watu zaidi ya 6m na projection ya kuwa moja kati ya majiji makubwa zaidi (mega cities) by 2050 leo hii tunajenga vibarabara vya hovyo na viwanjwa vya ndege vidogo vilivyopaswa kujengwa Kigoma, Mbeya, Bukoba, etc.

Inashangaza mradi wa matrillioni kama wa SGR kuwa wa reli ya njia moja (single track railway)! Treni inayotoka Dar kwenda Moro inabidi isimame katika kila kituo kwa muda hata dakika 20 kusubiri treni inayotoka upande mwingine. Treni za single track zilijengwa na wajerumani mwaka 1905 wakati population ya watu Tanganyika ikiwa chini ya 2million na inshangaza tunajenga vitu kama hivyo miaka zaidi ya 120 baadaye wakati tukijitawala na idadi ya Watanzania ikiwa takribani 60 million!

Naweza kuendelea kutaja miradi mingi tu jinsi tunavyojenga kama vile tunajenga nyumba za makuti kwa ajili ya muda mfupi tu. Tunapoteza matrilioni yetu ya kukopa kwa kutokuwa na maono. Nasema hatuna maono! Hatujaweza kupangilia miji yetu yote tangu aondoke mkoloni. Huwezi amnini mipango miji iliyopo ni ile waliyofanya wajerumani miaka 1890 na waingereza 1930! Manzese, Changanyikeni, Buguruni, Kwa Morombo, Nyegezi, Mabogini, nk ndipo "tulipopanga" tangu uhuru!
 
Unajikuna mkono unapofikia mzee baba..Kama uwezo wako Ni wa vits utaacha kununua kisa Kuna V8. Tuache maisha ya kubeza beza...
 
Cha ajabu nn hapo mkuu....Yani kwakuwa imekua ya duara ndo imekuchanganya ama? Ya kwetu is the best ukilinganisha na hup ujinga ulinionyesha hapo if umewahi fika I'll eneo lakn
Hivi ulishawahi kuona hako ka daraja ka nairobi, wala siyo ya duara ni robo duara. Labda kama unaongelea upana wa barabara sawa lakini na sisi tumeanza kupanua barabara zetu. Angalia hapo down vidaraja vya nairobi.
Nairobi-Thika-Highway.jpg
I😃😃😃😃

Nairobi bridge.jpg

Hivi kweli mtu unakuja na upupu wako kwamba ubungo interchange imekosewa kwa kulinganisha na hivi vidaraja kweli. Hvi vidaraja vya nairobi si leval yake ni Mfugale flyover.
 
Back
Top Bottom