Barabara ya Juu (Flyover) Ubungo yaanza kutumika

Nani humkubali mkuu?
Lami zilitandikwa ndio maana madaraja yanajengwa. Na hiyo ni miradi ambayo ilikua tayari imeshachukuliwa mikopo kabla hajaingia. Issue ni kwamba imejengwa wakati yeye yupo madarakani.

Wakushukuliwa ni wale waliotoka nje wakaona wenzao wanafanyaje sehemu zenye makutano.

Kwa upande wangu nawapongeza watanzania waaminifu kwenye kulipa kodi maana ndio wawezeshaji.

Hayo mengine ni siasa tunawaachia nyie

Haya mawazo yako yanafanana kabisa na ya kwangu! Awamu hii kuna baadhi ya mambo yanakera sana. Yaani hiyo flyover imejengwa kwa kodi zetu, lakini pongezi anapewa mtu mmoja tu ambaye tuliambiwa hata mshahara wake tu wa mwezi haukatwi kodi!

By the way, nini uwepo wa Serikali! Kujisifia na kusubiri pongezi au ni kuwaletea wananchi maendeleo? Awamu iliyopita haya mambo hayakuwepo kivile! Sijajua ni kwa nini awamu hii unafiki unawatafuna sana Watanzania. Kila kitu, pongezi kwa Jpm!! Mpaka inachosha.
 
Mkuu akisifiwa kiongozi wako Ni sawa na unesifiwa wewe..au unataka asifiwe kila mtz huo muda wa kusikiliza hizo pongezi kwa kila mtz unao.
 
Hakuna tatizo. Basi pongezi ziendelee! maana hakuna namna. Ila 2025 ajitahidi tu kuheshimu Katiba.

Halitakua jambo la busara iwapo ataamua kwa makusudi kufuata nyendo za maswahiba wake Museveni, Kagame na yule Rais wa Uturuki Erdogan kwa kigezo cha kupendwa sana na hivyo kujiona yeye pekee ndiye mwenye sifa za kututawala mpaka kifo.

Ni hilo tu.
 
Wananchi ndiyo huwa wanaamua
 
Haters tutaisoma number mbona? Kesho naenda kuishangaa wallah maana bado siamini.. Inaweza kuwa Photoshop hii

Jr[emoji769]
sisi tulioko huku mashambani tunaomba ulete picha hapa jukwaani
 
Mkuu huu utopolo uliouweka hapa woote unapatikana pale mbezi pakikamilika na nyongeza juu
Utopolo huu unapatikana Mbezi ndani ya jiji kuu la Tanzania, huu niliouweka hapa unapatika nje kabisa ya jiji la Windhoek maporini. Yanayopatikana ndani ya jiji lao ni makubwa zaidi ndio maana nimefanya kuleta hii ndogo. Tatizo la nyie watu mliozaliwa na kukulia na kufia Mburahati mna maono finyu mno ndio maana mnajitapa na flyover moja au mbili nchi nzima wakati ka-nchi kama Namibia wanazo angalau 50.
 
Tatizo letu ni fikra. Nimewahi kujenga nyumba ya 50m mkoa flani kwa kutumia mafundi wazalendo ile nyumba natamani kuibomoa. Lakini nilipochukua mafundi kutoka nje nilijenga nyumba nzuri sana kwa ile ile 50m. Fedha zilizotumika kujenga kadaraja ka Ubungo hizo hizo zingeweza kujenga fyover nzuri zaidi.

Angalia wenzetu Namibia ka-nchi kadogo kabisa kenye watu wasiozidi 2.5 milioni na kenye ukame mkubwa na umaskini lakini angalia mipango yao ya barabara hapa;
View attachment 1464548
View attachment 1464542
View attachment 1464544View attachment 1464545View attachment 1464546
Sasa hiyo inafikia hata Sam Nujoma?
 
Tatizo lenu kubwa ni kuzaliwa, kukulia na kufia Mburahati ndio maana mnaona mambo ya hovyo kuwa mazuri na makubwa.
Wewe uliyezaliwa na kukulia majuu unamsaada gani nchi hii zaidi ya kuivisha majungu na kejeli.
 
Natia changamoto na kuwafungua watz akili kwa kweli tupo maporini sana. Unaona ikulu mpya jiwe amecopy na kupest ile iliyojengwa na wakoloni mwaka 1890! Copy and paste! Kwenye hotuba yake Dom hana cha pekee zaidi ya kusema eneo la ikulu litakuwa acre 8,000 na ni kubwa kuliko yote Africa, hicho sio cha kujivunia, cha kujivunia ni architecture sio ukubwa wa pori linalozunguka ikulu.
 
Mkuu nashauri bana choo tu maana hamna namna! Umeshajaa..
 
Ahaahaa mmefanikiwa kujenga flyover yenye choo! Kesho nitawatambia wazungu hapa NewYork.
1590951609425.png
 
Back
Top Bottom