Barabara ya fly over TAZARA, itapunguza foleni?

Hebu angalieni hapo ''To ubungo intersection...si foleni mpya From Chama to Matumbi..........
Project ya flyover zitajengwa 4 hapa Dsm (Tazara,Ubungo,Moroco na Gerezani )hii ya TAZARA ilipaswa ianze kujengwa tangu 2014 Wajapan wakachelewa kutoa hela na wameanza hii ili kupunguza foleni ya kwenda Airport kumbuka JNIA-Terminal 3 itakuwa imekamilika mwishoni mwa 2017.Kumbuka ujenzi wa hizo flyover unategemea fedha za wahisani
 
Kama naanza kukuelewa vzr hebu ngoja nimalizie hii chupa moja ya Serengeti alafu nirudie kukusoma zaidi.
 
Haitasaidia kupunguza foleni....ni muendelezo wa mambo ya kitoto sawa na MWENDO KASI....n.k.
Kwa mfano.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je?likifika Chama? matumbi je?
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika vingunguti? si yaleyale...mpaka njia panda ya segerea na banana jam itaongezeka.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika mataa changombe?...Hebu tuache kufanyana wajinga.

SULUHISHO:
Zijengwe angalau njia 5 kwenda,5 kurudi.....kila upande......For now and future use.
wewe kama hutaki flyover ya tazara, ondoka katafute nchi yako.
 
Mnaotaka zijengwe njia tano sijui kumi nyinyi ndio mnapotea kabisaaa..
Shida ni hizo intersection ndo zinaleta foleni kusubiria taa/trafiki lakini wakiweka flyovers kote itakua ni kuteleza tu.wameanza na tazara watakuja ubungo,magomeni Morocco mpaka dar yote itaisha hili ndio suluhisho la kudumu ukiongeza barabara ipo siku magari yataongezeka pia.
 
ila ndo mwanzo huo, tukiona yafaa wataongeza flyover zingine
 
Mnaotaka zijengwe njia tano sijui kumi nyinyi ndio mnapotea kabisaaa..
Shida ni hizo intersection ndo zinaleta foleni kusubiria taa/trafiki lakini wakiweka flyovers kote itakua ni kuteleza tu.wameanza na tazara watakuja ubungo,magomeni Morocco mpaka dar yote itaisha hili ndio suluhisho la kudumu ukiongeza barabara ipo siku magari yataongezeka pia.
SULUHISHO<<<<<NI Ring roads
 
SULUHISHO<<<<<NI Ring roads
upload_2016-5-7_10-27-42.jpeg
 
Picha inaonesha Flyover ya kizamani..ishapitwa na wakati.. haitokidhi zahama za wingi wa magari....!!
Ona hii ndiyo inayotakiwa kudumu miaka 50~100 ijengwa KAMA tutaweza!!!
images

au hii... chini
images
sWALA sio kujenga ya aina hiyo. Solution ni kuwa fly-over ziwe karibu kote kwenye makutano ya barabara kuu mjini. Pia kupunguza milori mibovu mana ndio inapenda sana kufia kati ya njia
 
Haitasaidia kupunguza foleni....ni muendelezo wa mambo ya kitoto sawa na MWENDO KASI....n.k.
Kwa mfano.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je?likifika Chama? matumbi je?
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika vingunguti? si yaleyale...mpaka njia panda ya segerea na banana jam itaongezeka.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika mataa changombe?...Hebu tuache kufanyana wajinga.

SULUHISHO:
Zijengwe angalau njia 5 kwenda,5 kurudi.....kila upande......For now and future use.
Hoja yako ni nzuri lakini kwenye suluhisho umepotoka mkuu.Na hoja hii sio kwamba haifahamiki laa hasha hii inafahamika.Sulisho ni kuendeleza ujenzi wa fly over kwenye makutano muhimu ya bara bara kama Ubungo,mwenge,magomeni,moroko,ilala boma,kariakoo mzunguko nk.
 
Kwanza si kweli kila gari itapita juu ya fly over, watapita juu wa mjini kuelekea vingunguti na Kinyume chake na wengine watabaki chini. Tukirudi kwenye hoja ya msingi, lengo la fly over ni kuondoa msongamano kwenye makutano ya TAZARA. Kama ni mtumiaji makutano pale TAZARA utakuwa unaelewa adha ya foleni ya makutano kwa kusubiriana watu wa Gongo la Mboto, mjini, malori ya bandarini na watu wanaotoka Buguruni-Matumbi.

Fly Over inakuja kusuluhisha hilo tatizo, kupoteza mpaka nusu saa kutoka Matumbi mpaka kupita TAZARA hilo tatizo linaondoka. Hoja ya kwamba utaenda kukwama mbele ya safari haihalalishi kukwama na kupoteza muda mwingine sehemu nyingine na vipi wale wanaoishia njiani ambao hawafiki msongamano unaofata? Mkwamo wa Vingunguti unataka kuufananisha na foleni ya TAZARA?

Matatizo yanatatuliwa kwa hatua, katika mipango ya serikali ni kujenga fly over tano kama sikosei ili kuondoa misongamano katika makutano yote makubwa jijini. Serikali haiwezi kujenga zote kwa pamoja na wameamua kuanza na ya TAZARA.

Mwisho kuna foleni kama ya Banana nahisi inazuilika kama wahusika wakiamua kufanyia kazi, kituo cha daladala cha Banana kihamishwe na madaladala yasiye kwenye barabara kuu kwani kinapelekea kuweka ukungu kwa magari yanayoingia kushoto na kusababisha msongamano usio na lazima, barabara imebana sana kwenye makutano ya Banana hivyo waipanue hata kwa mita 100 nadhani foleni ya Banana itapungua sana kama si kuondoka.
Nakuunga mkono, ila waipanue barabara ya banana hata mita 100? Hiyo itakuwa gari 15 zinaenda 15 zinarudi.hamna hiyo nafasi, nafikiri ulimaanisha mita labda 10, yaani mita 5 kila upande.
 
Kwanza si kweli kila gari itapita juu ya fly over, watapita juu wa mjini kuelekea vingunguti na Kinyume chake na wengine watabaki chini. Tukirudi kwenye hoja ya msingi, lengo la fly over ni kuondoa msongamano kwenye makutano ya TAZARA. Kama ni mtumiaji makutano pale TAZARA utakuwa unaelewa adha ya foleni ya makutano kwa kusubiriana watu wa Gongo la Mboto, mjini, malori ya bandarini na watu wanaotoka Buguruni-Matumbi.

Fly Over inakuja kusuluhisha hilo tatizo, kupoteza mpaka nusu saa kutoka Matumbi mpaka kupita TAZARA hilo tatizo linaondoka. Hoja ya kwamba utaenda kukwama mbele ya safari haihalalishi kukwama na kupoteza muda mwingine sehemu nyingine na vipi wale wanaoishia njiani ambao hawafiki msongamano unaofata? Mkwamo wa Vingunguti unataka kuufananisha na foleni ya TAZARA?

Matatizo yanatatuliwa kwa hatua, katika mipango ya serikali ni kujenga fly over tano kama sikosei ili kuondoa misongamano katika makutano yote makubwa jijini. Serikali haiwezi kujenga zote kwa pamoja na wameamua kuanza na ya TAZARA.

Mwisho kuna foleni kama ya Banana nahisi inazuilika kama wahusika wakiamua kufanyia kazi, kituo cha daladala cha Banana kihamishwe na madaladala yasiye kwenye barabara kuu kwani kinapelekea kuweka ukungu kwa magari yanayoingia kushoto na kusababisha msongamano usio na lazima, barabara imebana sana kwenye makutano ya Banana hivyo waipanue hata kwa mita 100 nadhani foleni ya Banana itapungua sana kama si kuondoka.
Sio kweli flyover itaojengwa itaondoa foleni tazara! Kwasb njia itayojengwa ni moja tu kutoka goms to kkoo. Hawa wanaopita chini( mandela) wataendelea kusubiriana tu hakuna namna ya kupita gari likitokea b.runi linaenda g.lamboto ni lazima lililopo mandela kwenda ubungo lisimame kwanza! Vile vile linalotoka banda la ngozi kwenda ubungo, na kinyume chake. Ni kama kuhamisha tatizo upande mwingine tu"
 
sWALA sio kujenga ya aina hiyo. Solution ni kuwa fly-over ziwe karibu kote kwenye makutano ya barabara kuu mjini. Pia kupunguza milori mibovu mana ndio inapenda sana kufia kati ya njia
Barabara ya mandela malori ni chanzo cha foleni, yakitolewa kutakuwa na auheni.
 
kweli kabisa tatizo la foleni sio la barabara au makutano ya barabara kwa maono yangu ni kuwa na maofisi mengi na biashara nyingi katika eneo moja..mji kama dar watu wanazidi kujenga magorofa mjini maofisi na biashara nyingi zinafunguliwa ...magari mengi asubuhi yanaenda mjini barabara zinazoenda mjini ni mbili tu...je nimepita tazara banda la ngozi je wata control vipi foleni?
tatizo la dar si makutano ya barabara bali ni miundo mbinu michache,mpango wa jiji si wa kuridhisha kabisa

Nakubaliana Na wewe. Zingefanyika juhudi za makusudi kujenga baadhi ya ofisi kubwa nje ya mji ili kupunguza hii trend kwamba wote tukiamka tunaelekea katikati ya mji. Flyover ya Tazara itapunguza foleni hapo hapo Tazara lakini hayo magari yatapitaje haraka Buguruni, Matumbi Na Ubungo? Na vipi Chan'gombe Na Kamata? Kama tunaamua kuwa Na fly over basi zijengwe nyingi otherwise hii itakuwa ni ngoma ya kitoto ambayo haitakesha.

Tiba
 
Nyerere alipotaka kuhamisha makao makuu Dodoma moja ya wazo ni kujenga miundo mbinu upya kule dodoma na kukimbia hii ya Dar. Lakini kwa kuwa waliokabidhiwa nchi nwao wanapita na ving'ora basi hawataki kuhama. Yule aliopita ndio kaamua kukabidhi majengo kwa chuo.
 
SULUHISHO<<<<<NI Ring roads
Fly over moja sio kwamba itamaliza tatizo bali italipunguza kidogo,ndio maana tuliambiwa kutakuwa na nyingine zitakazojengwa katika makutano mengine. Ring road gharama yake ni kubwa,inawezekana wataalam wameona hatuna uwezo nayo kwa sasa au fly over ni suluhisho bora kuliko ring road, kumbuka project cycle ,so mpk inafanyika hiyo ujue walijiuliza vingi.
 
Haitasaidia kupunguza foleni....ni muendelezo wa mambo ya kitoto sawa na MWENDO KASI....n.k.
Kwa mfano.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je?likifika Chama? matumbi je?
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika vingunguti? si yaleyale...mpaka njia panda ya segerea na banana jam itaongezeka.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika mataa changombe?...Hebu tuache kufanyana wajinga.

SULUHISHO:
Zijengwe angalau njia 5 kwenda,5 kurudi.....kila upande......For now and future use.

Rome was not built in a day.
 
Nyerere alipotaka kuhamisha makao makuu Dodoma moja ya wazo ni kujenga miundo mbinu upya kule dodoma na kukimbia hii ya Dar. Lakini kwa kuwa waliokabidhiwa nchi nwao wanapita na ving'ora basi hawataki kuhama. Yule aliopita ndio kaamua kukabidhi majengo kwa chuo.

Mbona yeye hajahamia mpaka kifo.
 
Kwa kiswahili hilo flyover linaitwaje?
 
Back
Top Bottom