Foleni ya leo barabara ya Mandela sio poa

ninjajr

Senior Member
Sep 16, 2023
133
140
Barabara ya mandela road ilikuwa haifai leo ,foleni Nimeikuta imeanzia uhasibu chuo cha TIA mpk nimekuj kuchepuk njia ya kuingia Tabata,kwa wale tuliopita hii njia nahisi mmekutana nacho, nimejaribu kuchepukia njia ya mchicha ili niingilie njia ya uhuru wapi, kwenyewe ndo kabisa gari zilikuwa hazitembei Ikanibidi nirud teena niitafute sokota ili niingie service road, mpaka natoboa Tazara nimekaa kile kipande Si chini ya lisaa na nusu.

Vivyo hivo kweny kipande cha kutafuta mataa ya Tabata Si chini ya dkk 45.Nimetoka pale nikaend kupamban na foleni ya kuitafuta segerea mwisho unachipua mkono wa kushoto pale mataa ya Tabata na kwenyewe nimekaa sii chini ya dkk 40.

Mpk nafika home ni huruma imenibidi nilale kweny gari kabla ya kushuka mwili wote ganzi.

Kinachochosha zaidi safari ya nusu Saa nimetumia masaa matatu, naukisema utumie usafiri wa umma jiandae kuwa jack chain lasivyo uwe na hela ya kupanda boda boda kila siku, ukiwa mzembe ni kufik home midnight kila siku.
 
Ndio wapi huko?
 
Kama unaishangaa barabara ya Mandela kuwa na foleni, yawezekana ni Mgeni wa ile barabara, maana ile ni imeshindikana kwa foleni siku zote za maisha yake

Na asilimia kubwa husababishwa na yale malori yanayoenda na yanayotoka bandarini, binafsi kama naenda Tabata au maeneo jirani na huko ni heri nipitie njia ya Goba - Mbezi - Kinyerezi, na kulingana na ninapoishi hiyo ndio njia rahisi kwangu

Wewe sijajua unaishi Tabata ipi mkuu ila kwa huo muda uliopoteza, ungepita Nyerere Road ukaenda kuingilia kule Majumba Sita kisha ukarudi Tabata, pengine usingepoteza huo muda wote
 
Cheza mida kuna mida ya foleni na mida ya barabara unakuta nyeupe
 
Kama unaishangaa barabara ya Mandela kuwa na foleni, yawezekana ni Mgeni wa ile barabara, maana ile ni imeshindikana kwa foleni siku zote za maisha yake

Na asilimia kubwa husababishwa na yale malori yanayoenda na yanayotoka bandarini, binafsi kama naenda Tabata au maeneo jirani na huko ni heri nipitie njia ya Goba - Mbezi - Kinyerezi, na kulingana na ninapoishi hiyo ndio njia rahisi kwangu

Wewe sijajua unaishi Tabata ipi mkuu ila kwa huo muda uliopoteza, ungepita Nyerere Road ukaenda kuingilia kule Majumba Sita kisha ukarudi Tabata, pengine usingepoteza huo muda wote
Mkuu mm naishi segerea mwisho, nikitumia njia ya majumba sita kuna urahisi kidogo?
 
Si lazima majumba sita unaweza kuingilia hata vingunguti ukaenda kutokea baracuda tena hiyo ndio itakuwa rahisi zaidi kwako, kwa kiasi kikubwa utakuwa umekwepa foleni ya kuanzia tazara mpaka tabata relini, nyerere road naonaga haina usumbufu mkubwa kama mandela road
 
Si lazima majumba sita unaweza kuingilia hata vingunguti ukaenda kutokea baracuda tena hiyo naona ndio rahisi zaidi kwako, kwa kiasi kikubwa utakuwa umekwepa foleni ya kuanzia tazara mpaka tabata relini, nyerere road naonaga haina foleni sana kama mandela road
Vingunguti Bado magari hayawezi kukatiza Kuna ujenzi unaendelea wa daraja. Labda aambae na hiyo rough road aende nayo Hadi majumba sita...akaitafute njia ya segerea Kwa huko.

Ikiisha hii njia ya vingunguti itakua msaada mkubwa sana.

Ikiisha na ya majumba sita itakuwa poua Zaidi. Na hapo majumba sita Kuna ujenzi pia unaendelea huwezi kuingilia kupitia barabara ya gongo la mboto.

Ni lazima uingilie vingunguti Kwa wenye magari wanapita rough road. Kuanzia vingunguti
 
Barabara mchepuko za vingunguti kutokea baracuda na majumba- kinyerezi ujenzi wake ukiisha utasaidia kupunguza foleni
 
Kama unaishangaa barabara ya Mandela kuwa na foleni, yawezekana ni Mgeni wa ile barabara, maana ile ni imeshindikana kwa foleni siku zote za maisha yake

Na asilimia kubwa husababishwa na yale malori yanayoenda na yanayotoka bandarini, binafsi kama naenda Tabata au maeneo jirani na huko ni heri nipitie njia ya Goba - Mbezi - Kinyerezi, na kulingana na ninapoishi hiyo ndio njia rahisi kwangu

Wewe sijajua unaishi Tabata ipi mkuu ila kwa huo muda uliopoteza, ungepita Nyerere Road ukaenda kuingilia kule Majumba Sita kisha ukarudi Tabata, pengine usingepoteza huo muda wote

majumba sita.kwa wiki hizi mbili hapana simshauri labda hapo baadae.
 
Back
Top Bottom