Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

Barabara nne Chalinze - Segera hadi Tanga

Haya makusanyo ni kwa mwaka au mwezi? I believe ni kwa mwezi, otherwise you are wrong! Vilevile, takwimu kama hizi zinahitaji citation/source au ni maoni yako?

Samahani mkuu na wana JF wote, nilikopi harakaharaka bila kuangalia vizuri kumbe nilikopi ya quarter moja tu ya Oktoba-Desemba 2008 tena upande mmoja tu wa Customs and Excise. Nimeirekebisha hiyo post yangu. Sorry.
 
Last edited:
...mbona pesa ndogo sana hizo kwa Taifa kama Tanzania,i believe hayo mapato yatakuwa kwa mwezi...kumbuka budget yetu ni zaidi ya 4 trillions!

Yeah kulikuwa na makosa ya kiufundi mkuu. Makusanyo ya mwaka mzima (2007/2008) yalikuwa ni shilingi trilioni 3.3788. Nimerekebisha post yangu ya mwanzo.

Source:The Tanzania Revenue Authority
 
yeah kulikuwa na makosa ya kiufundi mkuu. Makusanyo ya mwaka mzima (2007/2008) yalikuwa ni shilingi trilioni 3.3788. Nimerekebisha post yangu ya mwanzo.

Source:the tanzania revenue authority

hint:
tutategemea sana makusanyo ya kodi....kikwete ameshakausha akiba ya taifa ...ya more than $2b aliyoachiwa na utawala wa awamu ya tatu!!!!

na mabuzi[wafadhili] wamekata kamba ....kila siku mama yetu [rais] anaenda ohio...[nje ] luhangaika anarudi mikono mitupu...haikufaa sura????
 
Yeah kulikuwa na makosa ya kiufundi mkuu. Makusanyo ya mwaka mzima (2007/2008) yalikuwa ni shilingi trilioni 3.3788. Nimerekebisha post yangu ya mwanzo.

Source:The Tanzania Revenue Authority

TUTATEGEMEA SANA KODI MIAKA HII...KIKWETE AMESHAKAUSHA AKIBA YA TAIFA YA MORE THAN 2b$[11 MONTHS IMPORTS] ALIYOACHIWA NA UTAWALA ULIOPITA...

TUTAKOMA ..KILA SIKU MAMA [jk] ANAENDA OHIO [Nje] KUUZA SURA,,,na anarudi mikono mitupu...!!! haikufaa sura??? kweli dunia ya leo na uchumi wake ukitegemea kuomba omba ..uta@@@@@&&&>wa!!! mabuzi [wafadhili] wenyewe wamekata kamba!!!

please sitaniiiii!!!!
 
Inasemekana Dar es Salaam inachangia zaidi ya 80 % ya pato la taifa. Kwa mfano kwa mwaka wa fedha wa 2007/2008 pesa zote zilizokusanywa ukiondoa zile toka kwa large Tax Payers, Treasury vouchers, DTI process inspection fees na 1.2 % destination inspection fees ni kama Trilioni 2.08 na Dar es Salaam ilikusanya Trilioni 1.6 sawa na 77 %. Na large Tax payers wengi wako Dar es Salaam ukijumlisha na hiyo ni zaidi ya 80 %. (Jumla ya makusanyo yote yalikuwa ni shilingi Trilioni 3.3788). Kwahiyo bila Dar Dar es Salaam hakuna Tanzania. Hahahahahahahaha!
Source:The Tanzania Revenue Authority

Mheshimiwa ufafanuzi wako wa takwimu sio kweli, matokeo ya takwimu yako yanatokana na makampuni mengi yaliyowekeza mikoani kuwa na headquaters Dar Es Salaam, Hivyo yanapofunga mahesabu yao yote ya Accounting Dar which means hata Tax inakuwa declared Dar lakini haimaanishi kwamba Dar ina hold 80% ya kipato.
 
]ndugu wadau sirikali haina uwezo wa kuondoa tatizo la barabara dar, je kuna uwezekano wa kujenga toll road ili tutumie private capital?
 
Mheshimiwa ufafanuzi wako wa takwimu sio kweli, matokeo ya takwimu yako yanatokana na makampuni mengi yaliyowekeza mikoani kuwa na headquaters Dar Es Salaam, Hivyo yanapofunga mahesabu yao yote ya Accounting Dar which means hata Tax inakuwa declared Dar lakini haimaanishi kwamba Dar ina hold 80% ya kipato.

Ndugu yangu Leokweli, haijalishi pesa zimekusanywa kutoka wapi, maadamu zimekuwa declared Dar basi zinahesabiwa kuwa ni za Dar. Mambo ya takwimu yako complicated kwa kiasi fulani. Hakuna twakimu zozote duniani zilizo 100 % accurate. Majedwali yaTRA yanaonyesha hivyo sasa kama unatoa ripoti utasemaje? Vinginevyo kama una ufafanuzi zaidi basi tupe.
 
TUTATEGEMEA SANA KODI MIAKA HII...KIKWETE AMESHAKAUSHA AKIBA YA TAIFA YA MORE THAN 2b$[11 MONTHS IMPORTS] ALIYOACHIWA NA UTAWALA ULIOPITA...

TUTAKOMA ..KILA SIKU MAMA [jk] ANAENDA OHIO [Nje] KUUZA SURA,,,na anarudi mikono mitupu...!!! haikufaa sura??? kweli dunia ya leo na uchumi wake ukitegemea kuomba omba ..uta@@@@@&&&>wa!!! mabuzi [wafadhili] wenyewe wamekata kamba!!!

please sitaniiiii!!!!

Mkuu Mikael, inasikitisha na kutisha, Uvascodagama huu wa kuambatana na kijiji cha wapambe lazima hazina ikauke! Ila natamani kweli hayao mabuzi yakate kamba, labda tutajifunza jinsi yakutunza miambili yetu ya mauzo ya chapati zetu.
 
mimi nadhani huu ni upuuzi mtupu tukiwa kama watanzania wote tuna haki ya kusafiria katika barabara nzuri. Iweje barabara za kaskazini tu? mkae mkijua kwamba wote tunalipa kodi sasa iweje wenzetu wawe na maendeleo zaidi. wanatucheka ni maskini kumbe wanasahau utajiri wao ni kwa sababu wamewezeshwa kimiundobinu. huu ni uonezi ambao hata mungu hapendi.
Qulfayaqul
 
lakini hii ni uonevu wanagharimia sana barabara za kaskazini kuliko magharibi jamani hii sio haki.
 
Juzi usiku nimeona kwenye kituo kimoja cha TV serikali yetu ikitangaza mpango wa kujenga barabara nyingine ya kiwango cha lami itakayokuwa sambamba na ile iliyopo kutoka Segera hadi Tanga, hivyo basi moja itakuwa ina kwenda nyingine inarudi (double roads).

Serikali imesema inafanya hivyo kuepusha ajali nyingi zinazotokea katika barabara hiyo, na mradi huo utaanza hivi karibuni , utafanywa kwa awamu na utagharimu Tshs bilioni nne.

1.Jamani hizo hela kwanini zisiende kujenga barabara huko madongo kwinama ambako hakuna barabara za lami na hizo za vumbi zinahali mbaya kabisa?

2.Eti wanazuia ajali watu wasife!, mbona huko madongo kwinama watu wanakufa kwa kukosa usafiri wa kuwapeleka mahosipitliani kwa sababu barabara hazipitiki! nani atwasemea wananchi hao wanaoishi kama wakimbizi ktk ncnhi yao?

3. Mbona mazao ya wakulima yanaozea mashambani kwakukosa usafiri kutokana na ubovu wa barabara, hili serikali haliihusu?

4. Yaani wanataka kutuambia hiyo barabara ndiyo chanzo kikuu cha vifo vya watanzania kikiasi kwamba ndiyo inastahili kutengewa fungu hilo kubwa wakati kiukweli haihitaji hilo fungu!?

5 Au kwakuwa pia ni njia ya kwenda kwa Mkulu wa kaya!

Jamani mimi naona nchi yetu ni kweli inahitaji miundo mbinu, lakini ni kwenye maeneo yanayo stahili, hii ikoje? ahh......... nchi yetu "inanajisiwa"! na watu wajinga kabisa ambao ni viongozi wetu.

Mzizi wa mbuyu !

Tafadhali wacha ushamba! Jambo kama hulijui usikurupuke tu! Nenda kacheze pool!!

Kwa taarifa yako barabara hujengwa kwa kuangalia vigezo vingi amabavyo kwa kiwango chako kidogo cha ufahamu unashindwa kuona mbali.

Hiyo barabara imekuwepo kwa muda mrefu na ndio maana baada ya ujenzi mpya uliofanyika zaidi ya miaka 15 iliyopita imebidi sasa ipanuliwe ili kukidhi ongezeko na maboresho ili kwenda na wakati tulio nao.

Actually wale wahandisi waliobua ule mradi walikuwa vihiyo kwani kwa kawaida roads are designed taking on board a forecast life time of up to 20 years hawakuweza kuproject such a scenario ya traffic growth and such parametres shame on them kama bado hawajafa kwa ********* Because rushwa ya ujenzi involves billions and money augurs well with ufuska!!!

Pili hiyo barabara haijengwi na serikali ya CCM na hata ile iliyojengwa enzi za RUKSA ilijengwa kwa fedha za wafadhili na serikali yetu haina ubavu wa kubisha kwani watoa misaada wana dira na sio upeo kama wako kwa hiyo wanaamua msaada uende wapi!

Tatu hiyo barabara haijengwi kuwa njia 4 kwani fedha inayotumiwa haizidi USD 50million. haitoshi kuifanya iwe 4lane! What I can assure you ni kwamba inapanuliwa iwe kama ila ya Morogoro - Chalinze kuwepo na what we call climbing lanes kwenye maeneo korofi pamoja na kupanua daraja la Wami period!

Kwa sababu waliotoa tamko akina Shukuru Kawambwa sio fani yao ila amepEwa wizara ya miundo mbinu apate kukwapua kwa sababu tu mjomba wake Rais JMK aka Vasco Dagama! Habari ndiyo hiyo! Baada ya Kitumbi labda shukuru kama bado atakuwepo aombe pesa Iran!!

Wajamii hebu jiulizeni huyo shukuru kwa muda wa miaka mitatu amepitia wizara ngapi hata kama unapromote UKWERE/Undengereko na Uzaramo si mpaka mtu awe na uwezo!! tehe!tee teheee!
 
Wewe nawe, Nimeshindwa kukuelewa maana umechanganya mambo mno!! umenisifia kwa kiniita "mshamba" lakini tena ukaniambia nisikurupuke? Baadae tena ukaniunga mkono!
Usiwe unakunywa GONGO, unaona madhara yake??
 
Uko sahihi Masatu,

Wanachofanya hapo kati ya Chalinze hadi Segera ni kwamba, wanapanua barabara sehemu zenye milima ili kuongeza lane moja kwa ajili ya magari makubwa kwa kuwa huwa yanakwenda mwendo mdogo milimani, ili kuyapisha magari madogo!

Kwa kifupi kinachofanyika ni kama walivyojenga kati ya Chalinze mpaka Mikumi...wanatengeneza "overtaking lanes" kwenye milima na kona!
sawa kabisa ni climing lanes au overtaking lanes hamna jipya hapo
 
Juzi usiku nimeona kwenye kituo kimoja cha TV serikali yetu ikitangaza mpango wa kujenga barabara nyingine ya kiwango cha lami itakayokuwa sambamba na ile iliyopo kutoka Segera hadi Tanga, hivyo basi moja itakuwa ina kwenda nyingine inarudi (double roads).

Serikali imesema inafanya hivyo kuepusha ajali nyingi zinazotokea katika barabara hiyo, na mradi huo utaanza hivi karibuni , utafanywa kwa awamu na utagharimu Tshs bilioni nne.

1.Jamani hizo hela kwanini zisiende kujenga barabara huko madongo kwinama ambako hakuna barabara za lami na hizo za vumbi zinahali mbaya kabisa?

2.Eti wanazuia ajali watu wasife!, mbona huko madongo kwinama watu wanakufa kwa kukosa usafiri wa kuwapeleka mahosipitliani kwa sababu barabara hazipitiki! nani atwasemea wananchi hao wanaoishi kama wakimbizi ktk ncnhi yao?

3. Mbona mazao ya wakulima yanaozea mashambani kwakukosa usafiri kutokana na ubovu wa barabara, hili serikali haliihusu?

4. Yaani wanataka kutuambia hiyo barabara ndiyo chanzo kikuu cha vifo vya watanzania kikiasi kwamba ndiyo inastahili kutengewa fungu hilo kubwa wakati kiukweli haihitaji hilo fungu!?

5 Au kwakuwa pia ni njia ya kwenda kwa Mkulu wa kaya!

Jamani mimi naona nchi yetu ni kweli inahitaji miundo mbinu, lakini ni kwenye maeneo yanayo stahili, hii ikoje? ahh......... nchi yetu "inanajisiwa"! na watu wajinga kabisa ambao ni viongozi wetu.

Naomba nianze kwa kusema huu ni mmojawapo wa miradi isiyohitajika na nchi yetu katika kipindi hiki cha maendeleo yetu. Hebu tuchukue ramani ya Tanzania ni tujaribu kuoanisha ukubwa wa nchi na miundombinu hai (current functioning infrastructure)

1. We have a non working central line which should have been the actual national transport backbone.

2. We are told Isaka-Nzega-Dar length of the CL will be upgraded to ISG - nobody seems to know when this will happen and while at it what will befall Nzega-Mwanza, Kigoma-Tabora and Ruvu-Tanga-Arusha pieces.

3. Between Dar and Tanga one can have four modes of transport, that is road, rail, air and sea. Of these the sea and rail routes have the potential to utilise mass transport modes. Instead of a parallell to the current road why not develop these routes which would serve Dar-Bagamoyo-Saadani - Tanga. It would cost us less in the long run.

4. Kwa nini tusiirudishie uhai reli ya Ruvu-Korogwe na matawi yake baada ya Korogwe ili kuhamisha heavy/mass transport kutoka barabarani?

5. Tukirudia ramani ya Tanzania, kwa nini tusiunganishe Mpanda-Sikonge-Nzega au Rungwa-Iringa badala ya kujenga njia ya pili kati ya segera na Tanga?

6. Inaleta hisia kuwa eneo hili lililoko kati ya bahari ya hindi na barabara ya Dar-Chalinze-Segera-Tanga limepewa kipaumbele cha kipekee katika awamu hii ya nne, maana tunasikia bandari/Bagamoyo (sijui bila reli mizigo itatokaje hapo) wakati Tanga (penye reli pana pwaya) is crying out for uplifting, uwanja wa ndege wa kimataifa (kwa ajiri ya Saadani National park ??)

Priorities za nchi yetu ni zipi?
Namna keki ya taifa ilivyogawiwa/inavyoendelea kumegwa kunaweza kukawa ni moja wapo ya vianzo vya kuyumbisha mshikamano wetu kitaifa.
 
Jamani mheshimiwa Dk Chegeni katuunga mkono:
Hii ni kwa mujibu wa Raia mwema la wiki iliyopita J5 chini ya kichwa "
Serikali yajitwisha mzigo bajeti mpya

....Mbunge mwingine aliyeonyesha kuikamia bajeti hii kama itakuwa kinyume cha matarajio yake ni Mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni, ambaye alisema Bajeti inaweza kuigawa nchi kutokana na kuruhusu maendeleo makubwa katika baadhi ya maeneo huku mengine yakiwa na umasikini wa kutisha.

Dk Chegeni alifafanua kwamba, kitendo cha kukarabati barabara ya lami kati ya Chalinze-Segera-Tanga, hakina mantiki wakati kuna maeneo hayana kabisa miundombinu ya lami. "Hata barabara ya Msata Bagamoyo haikupaswa kupewa kipaumbele zaidi kama kuna nyingine hazina lami. Labda kwa sababu anatoka Waziri wa Miundombinu (Dk Shukuru Kawambwa)," alikaririwa akisema Chegeni.....
 
Vipi kuhusu barabara ya kwenda Lindi - Mtwara ukitokea Dar?
 
na ya tunduru songea mbinga, songea- mbeya, njombe -mbeya sio mtu mpaka uende makambako ndio uende mbeya ni upotezaji wa muda wa biashara na kuongeza gharama za mafuta, vipuri na uchakavu wa magari
 
Bilioni nne barabara hiyo ya mabox? Hata hivyo nadhani habari haijakaa sawa waliochosema wanapanua barabara ya Chalinze Segera. Kupanua sio lazima iwe dual carriage ile barabara ni nyembamba sana hivyo wanaongeza mapana yake tu.

Kama ni dual carriage inahitajita zaidi baina ya Dar - Chalinze kwani hapo traffic ni kubwa mno na ajali nyingi zinatokea mitaa hiyo.

Nakuunga mkono. Hiyo bara bara haiko kwenye status inayopaswa kwa saizi na hata ujenzi. Likikatika calvet moja tu usafairi unakwama moja kwa moja kati ya Dar na mikoa ya kaskazini hadi Kenya , uganda , etc.
Due attenion is required .
 
Back
Top Bottom