bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 177
kila siku barabara hizo hizo zinajengwa...........
Wahamishie wizara zote dodoma tupate nafasi ya kuzikarabati.
Nimetoka juzi Dar....Yani ni kinyaaa.....Jiji ni chafuu....Mtaa wa congo barabara zote zimejaa maji na tope....
Mm sijajua uzuri wa DSM upo wapi....
Uzuri wa dar upo kwenye uchafu...
Ukitokea hidery plaza, oryx shell kabla ya kukutana na barabara kubwa ya kuingia posta mpya pale kuna mashimo miaka nenda rudi hata kabla ya mvua nilishijiuliza maswali mengi sana bila yakupata majibu. Au ile barabara sio ya jiji.!!!!
Huh? Bongo siku hizi Nyu Yoki, watu wana mahela kibao, sasa ubovu wa barabara utoke wapi?
Acha hizo wewe....bongo tambarareeeeeeee
Barabara kama vitu vingine vinavyolipiwa pesa kujengwa au kununuliwa, ni lazima vinakuwa na 'lifespan'.
Kwa Tanzania kichekesho kinakuja pale Kilomita moja inapogharimu Sh. 1b lakini barabara inadumu kwa msimu mmoja tu! Maana hata hizo za molam huwa zinadumu walau misimu miwili.
Cha kusikitisha zaidi ni pale unapoenda kwa majirani kama Rwanda, Kenya, Zambia nk, wao utakuta barabara imegharimu 600m lakini inadumu walau miaka 10! (Refer mradi wa Arusha - Namanga - Athi River).
Ndio maana kiuchumi wanasema kudaiwa sio vibaya lakini nchi zinazodaiwa trillion 40 zimefanya maendeleo makubwa na sustainable tofauti na viinimacho vyetu.
Nini kifanyike... sijui!
hilo nalo neno