Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 798
- 865
- Thread starter
- #21
Ni hatari sana. Watu watakula, watavimbiwa. Ukishafukiwa kama kuna mke machali wataangalia namna ya kuruka naye chapu.Unakufa kukosa drip ya maji ya elf 20, kwenye msiba wako ndugu wanakoga bia, mapilau mabiriani, kukuzika kwa heshima zote
Alafu watoto wako wanaendelea kubaki kuwa omba-omba.....😑😑