Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,624
Mzee alinunua eneo mbezi beach mwaka 1978 tshs 600😂😂. Enzi hizo pori tupu ukisimama kule beach unauona vizuri ule mbuyu wa kile kiwanja cha Mama Maria pale rungwe.Nyie wazee wa upanga si ndy mlipawahi mbezi beach naona mlitaka iwe kama upanga 😂😂
Wale wa sinza walihamia tabata
Ova
Tumetoka mbali.
