Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,415
- 7,923
Mitaa gani itakuwa inatembea ,sipati picha mkikatiza nayo mbagalaZije bongo watu tuzipande.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Itabidi kuwe full ulinziMitaa gani itakuwa inatembea ,sipati picha mkikatiza nayo mbagala
Mkinywa vibia viwili mtakua mnakojoa hovyo kila mahaliZije bongo watu tuzipande.
Kwani sasa hivi hatunywi??.Mkinywa vibia viwili mtakua mnakojoa hovyo kila mahali
Nafoleni zenu mtainjoy kwekweliZije bongo watu tuzipande.
Dereva haruhusiwi kunywa pombe akiwa kazini kimaadili na kiusalama piaDereva naye anaruhusiwa?
Tunakunywa sehemu zenye vyoo! HahahahaKwani sasa hivi hatunywi??.
Ajali zitaongezeka aisee.Pichani Zinaitwa Beer Bar Bike, au Party Bike, Ni Bar Zinazotembea Mtaani, Zinapatikana Katika Miji Mingi Kama Amsterdam Uholanzi, Laguna Ufilipino Pamoja na Arizona Marekani.Zina majina mengi sana kama vile a party bike, pedal crawler, pedal pub au beer bike. Zilizinduliwa rasmi mwaka 1997 na kampuni ya Het Fiescafe BV ya Uholanzi. Zipo za kutosha watu 10, 15, 20 au zaidi.
Bar hizi zinazotembea zipo za aina mbili, zipo zenye pedal kama baiskeli na zipo pia zenye injini kama bajaji, zimesambaa katika miji mingi duniani.View attachment 1824921