TeamLowassa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 1,495
- 937
Why this time?
Walikuwa wapi muda wote
Kwani huwa kuna muda maalumu wa kufanya jambo la maendeleo? Negativity tuu katika kila jambo la msingi, acheni kujistukia nyie, hizo namba za vitambulisho huandikwa hata kwenye vitambulisho vya utaifa na mambo yote ya msingi, tambua kitambulisho cha mpiga kura ndio kama utambulisho wetu sasa, na ndicho watz wengi wanacho, au ulitaka waandike namba za nini labda?

Mkuu nawasihi itafuteni na kuisoma vizuri sheria ya uchaguzi ya TZ na baada ya hapo ndipo mseme haya ya boda boda wa Mwanza na sahihi au la. Tuache mihemuko ya ushabiki usiokuwa na tija kwa taifa.
Try not to fool yourself silly boy. Unajua fika there is a motive behind the move. Miaka na miaka tunaambiwa hatukopesheki, leo kwa wema gani vijana wakakopeshwe bila dhamana zinazodaiwa siku zote.
Kwa kifupi wanajaribu kuwafool vijana wa Mwanza, hamna mkopo hapo hiyo ni janja ya nyani and you know that. Baadaye wataambiwa wakalete dhamana, hakuna mkopo hapo.
Kwani Lowassa alisema atawakopesha lini hizo bodaboda??!! Nayeye ataweza kweli??!!
Mnahaha hadi mnatia huruma, sasa hapo kilichofanyika kibaya ni kipi? Kuwapa mikopo vijana au kuandika namba za kadi zao??
Wachukue sasa hivi lasivyo wameliwa,Ila wakumbuke kutoa kadi ya mpiga kura kwa mtu mwingine ni KOSA.Na hayo masharti ya mkopo wapeleke kwa wanasheria yapitiwe kwanza maana ni hatari hiyo