tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
TEH CYBERCRIME.. bado haijaanza eh...
Ndio maana wadau wana wahi mapema kabisa
kumuua nyoka sharti umuwahi kumpiga kichwani
ha haaaaaaa bao la mkono
Kuhusu hiyo picha ama!
Huyu jamaa kumbe ni kweli anafanyaga "iyo mambo"​atakuwa alikuwa anapigia kwenye sink la vioo vikamkata
picha na captions yake..mhh jela zitajaa had october
lakuvunda halina ubani.
haya sasa bao la mkono limemvunja mkono Nape Nnauye akiwa bafuni.