Bao la kete linahitajika

Bao la kete linahitajika

Edobeny

Senior Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
143
Reaction score
29
Wadau,

Nisaidieni kwa hapa Dar es salaam wapi naweza nunua bao la soo au bao la kete?
 
Ungekuwa Mwanza ningekuelekeza ukalichukue la home hakuna wa kulicheza nowdays
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom