Bao hili la ndotoni, nini tafsiri yake?

Bao hili la ndotoni, nini tafsiri yake?

Ndo ushamla hivyo mkikutana itakuwa muendelezo tu
 
Pole sana mkuu.ila hii Cyo dalili nzuri sana inaonekana ulikuwa unawaza sana kuhusu papuchi ndiyo maana.
 
Usiku wa kuamkia siku ya Leo haukuwa usiku mzuri kwangu japo niliweza kupunguza uzito kimiujiza.

Nilikutana na mrembo niliyemfukizia kitambo sana akanikubalia bahati mbaya tukapotezana bila kunipa papuchi...

Baada ya kumuona stori za hapa na pale nikaanza kuomba papuchi mtoto akanikubalia tukatafuta room ya kwenda kamwaga sumu..

Tumefika ndani ya room anaanza kuzingua Mara ohhh Nina haraka sana tufanye siku nyingine nikabembeleza mtoto mwenyewe akakubali kuachia mzigo..

Huku na Kule Mara wazungu wakanitokaaaa ...kuja kushtuka kumbe ilikuwa ndoto ila tayari nimejichafua..

Naitizama kama ndoto mbaya kwangu usiku wa kuamkia Leo

Kwa wenye ufahamu zaidi na ndoto za aini hii naomba mnipe tafsiri ya hii ndoto
Watoto wa mjini tunasema una ukeke Sana (ukame)
 
Back
Top Bottom