Wala usipandishe mzuka hapa lazima uelewe wikienda ndo imeanza inawezekana ameshapitia mahali akapata hv huoni hata masaa yenyewe? sasa hivi frequencies za SW zimefungwa na kufungulia FM
Wewe mtu mzima una post elfu 14 pumba tupu,sasa hii thread ina maslahi gani kwa Taifa? nyie ndio mnaotucheleweshea maendeleo yetu
Hujaninunulia biya skulimeti....... tumevunja urafiki au tunaukataa ulimbukeni?
haha umemuweza! Teh teh!Banned: Yo Yo!Duration: Permanent
Reasons: Kujipendelea wajukuu, kushabikia mila na kuukosoa ubazazi.
Period: 1 week
Zingatia sheria na kanuni za JF.
Onyo: Atakayepinga hii BAN naye anapigwa BAN.
Wengine wote muwe na weekend njema.
================
Ban prolonged to 2 weeks
I like PAW, he is the talk of JF
Huyo mi sijamtambua bado aisee.In that case i like konokono too!Nini papai....kuna konokono anatwanga watu za maisha....Banned: RRReason: TGIFDuration: Till 50% sober
Yako iko wapi?Anyway nimemuona! Mi nayataka mabandiko yangu seriously! Kuna watu humu wanataka tu usitofautiane nao, if u dare to, lazima wakutusi.Sasa sikopishi mtu hapa, tit for tat! Bring it on and i will dance to the rythm!Chezea hapa uone....Kudadeki...kumbe nina ban yangu.....!
Reasons: Kujipendelea wajukuu,