Bank statement

Bank statement

Uyu Mrs S anataka kuchakachua(kufoji) bank statement ili hionekane transaction zake zipo poa ili apate mkopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkopo mwee kuna mtu anatakiwa kwenda chuo vitu vyote vipo kamili ishu imebaki bankstatement tu ndio maana akaniomba nimtafutie jf akipatikana waelewana kias gan ili aweze kamilisha mambo yake ya kwenda chuo

Samahani kwa maswali, chuo kinahitaji bank statement kwa ajili gani? Ukilipa cost zao si basi?
Halafu documents zingine mrs s, bank statement Evelyn si inaonekana kabisa sio yako?
 
Unaiambatanisha katika kuomba viza pamoja na document zingne wanavyo dai kwa wanaoelewa wameniambia azitokag na majina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania watu huwa hawasomi kitu na kuelewa bali hukimbilia kujibu, mleta mada anauliza kama anaweza pata bank statement ya mtu yenye kuanzia milioni 19 kitu kigumu ni kipi? mfano wewe bank statement yako ina milion 22, kitu kama hicho
 
Asante kiongoz kwa kuwaelewesha ila muhitaji wa hiyo ameshapata asanten kwa ushirikiano wenu Mungu azid kuwa bariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom