Bank statement

Bank statement

Mini bank statement au statement ya muda huo au amount hiyo? kusema kweli sijaelewa mada
 
we
Wapendwa muwazima wa afya msaada je naweza kupata bank statement yakuanzia million 19

Sent using Jamii Forums mobile app
weka swali vizuri lakini inawezekana kuna sehemu unatakiwa kuambatanisha na benki statement ambayo min inatakiwa kuwa na kiasi ambacho hakipungui 19m so hilo linawezekana ni kuweka hela tu kwenye acc yako unapata kwa kuwa benk statement ni taarifa ya kilichopo kwenye akaunti yako kwa siku utakazotaka mfano baadhi ya vyuo vya nje wanataka kuona benk statement yako na wameainisha kiasi fulani kwa ajili ya kuwa na uhakika wa wewe au mwihitaji atajiweza
 
  • Thanks
Reactions: bbc

Yes hapo umenielewa kama unafahamiana na mtu ambae unajua atakua kias cha kuanzia hiyo ela kwenye account yake ananiprint statement hyoo kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom