Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
Mi ninayo, kwani vp?Bank statement yenye taarifa za m 19 ina maana kama una hiyo kias bank unaprint ile statement itakayoonyesha taarifa hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ninayo, kwani vp?Bank statement yenye taarifa za m 19 ina maana kama una hiyo kias bank unaprint ile statement itakayoonyesha taarifa hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu atakuwa anatafuta mdhamini mwenye kiasi hicho bank
Utengeneze kwenye excel kiongoz kivipi hapa sijakuelewa kidogoTengeneza kwenye excel mzee!
Ambae anahicho kias aniprint hizo taarifahuyu atakuwa anatafuta mdhamini mwenye kiasi hicho bank
Inawezekana weka kiasi hicho kwenye akaunti yako lazima isome 19m.Bank statement yenye taarifa za m 19 ina maana kama una hiyo kias bank unaprint ile statement itakayoonyesha taarifa hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli inawezekana ila mpaka nimeandika hapa hicho kiasi hakipo kuna mtu anahitaji anataka ambatanishe kwa ajili ya kwenda shuleInawezekana weka kiasi hicho kwenye akaunti yako lazima isome 19m.
Wapendwa muwazima wa afya msaada je naweza kupata bank statement yakuanzia million 19
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli inawezekana ila mpaka nimeandika hapa hicho kiasi hakipo kuna mtu anahitaji anataka ambatanishe kwa ajili ya kwenda shule
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka bank statement ambayo ndio itakuwa na taarifa cha hicho kiasi kwa account yako mkuuwameomba bank statement au balance iliyopo kufikia leo?
Wanataka bank statement ambayo ndio itakuwa na taarifa cha hicho kiasi kwa account yako mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app