Bank statement

Bank statement

Nimekwambia wewe ni Mshamba. Mjinga.
Unawaaibbisha Wanawake wenzio.
Unacomment na usikute hata ela yenyewe hiyo una kwa account ushazoea kulelewa hapa mjini kula kulala choon kila kitu upewe bure paka wewe kukujibu kistarabu inakuwa shida unataka kuniletea usengerema wako hapa shubamiit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujielew nina mashaka na jinsia zako ukiona mtu anakujibu kistarabu nawewe mjibu kistarabu sio unaleta dharau zako sawaaa heshima nikitu chabure sawaa mario wewe

Vizuri mama Ntuntunyo
 
You don't need a bank statement of 19million...
You need a balance statement of that amount...

Cc: mahondaw
 
Pole dada,

Upo sahihi sana, ila umekosea mahali pa kuombea,

Hapa hauwez saidiwa, nenda Kariakoo na kwenye forums za wafanyabiashara
 
Unacomment na usikute hata ela yenyewe hiyo una kwa account ushazoea kulelewa hapa mjini kula kulala choon kila kitu upewe bure paka wewe kukujibu kistarabu inakuwa shida unataka kuniletea usengerema wako hapa shubamiit

Sent using Jamii Forums mobile app
Mrs S unatakiwa kuwa mpole na kulenga kwenye hitaji lako. Watu hupenda kuambatanisha majina yao na watu decent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa muwazima wa afya msaada je naweza kupata bank statement yakuanzia million 19

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka Bank statement yenye m19 au unataka account yenye salio ya m19.nyosha maelezo.kwa sababu kama statement unaweza itengeneza.ila kama ni account yenye salio hilo huwezi maana lazima upate account ambayo wataconfirm
 
Pole dada,

Upo sahihi sana, ila umekosea mahali pa kuombea,

Hapa hauwez saidiwa, nenda Kariakoo na kwenye forums za wafanyabiashara
Ni kweli unachosema ila utakiwi kudharau unaweza acha hapa ungaenda pengne ukakosa alafu mtu ukawa umejilaumu ulichosema na kunielekeza nisawa kabsa na jf pia wanatumia watu wengi nikaanzia hapa kusema hvyo vivyo umenishaur na uko ntatafuta pia asante kwa ushauri wako kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom