Bank M, full Massonry

Hakuna cha damu,waafrika p w botha alisema kwenye speech yake cc ni wazuri wa kupiga makelele,washamba sana,kila cku freemason

It is just like the fact that molecules are moving too and flor in a stone. To a common man that is a nonesense and "ushamba". You neither read nor listern and now you speak from your feelings, that's unfair to Thinkers
 
...hilo liko wazi. Hiyo bank-M ni bank ya kishetani. Ingekuwa ni bank ya kawaida,tungewaone kujihangaisha kutafutatafuta wateja. Kwa miaka yangu minne niliyokuwa chuoni,karibu kila benki ilishawahi kufika kujitangaza pale ili kupata wateja. Hata siku moja sijaona maofisa wa benki hiyo.
 
Tunatafuta visivyo tuhusu matokeo yake ni kuogopa kila kitu...

Siku hizi kila kitu ni Freemasons...

Tunaacha kusoma na kuyaelewa madhehebu yetu yanatutaka tufanye nini, tunakimbiliwa kusoma vitu visiyotuhusu na kupata habari nusu nusu.
Matokeo yake ni uoga wa kipumbavu, hadi kusalimiana na watu mnaogopa.

We shouldn't be this much stupid
 
my message is that," perfect love beats all fear" so have the perfect love of Christ Jesus in you and follow His Holy Spirit. hao ma free masons hutaweza kuwazuia simply ila tu kwa strong dedicated prayers. the name of Christ is strong to the pulling down of strongholds yaani ngome zote za yule muovu shetani huweza kuangushwa hadi chini kwa jina hili kuu la Yesu Kristo.
 
Freemasons are devil worshpers and nothing else. Kama unataka kumuabudu shetani sisi hatuwezi kukuzuia. Nakushauri ufahamu kwanza, usije ukapima kina cha maji kwamiguu miwili.

Kuna msaafu wao unaitwa Morals and Dogma utakueleza who are Freemasons. Ni msaafu ambao upo online.

Pia kabla ya kujiunga google the secret behind secret societies itakusaidia kuelewa
Mbona nimeshawasoma sana, tena kati ya secret societies, Freemasons ndio wako transparent unawajua kwa majina na Grand Lodge zao ziko openly!.

Hapa Tanzania kuna members wa Rosea Crusis wanaitwa rosecrusians hata kuwajua huwezi, Grand Lodge yao iko secret place maeneo ya Upanga, hawa ndio wenye real dark powers, hawafuati principle ya distance and time. Huwezi kuwajua kabisa, Masons ni kama Lions au Rotary clubs tuu!. Hiyo habari ya kunywa damu si kweli ni uzushi tuu.
 
Hii ya kutaka damu kali sana maana wao benki si wana wafanyakazi hizi habari nyingine hizi
 
Mbona nimeshawasoma sana, tena kati ya secret societies, Freemasons ndio wako transparent unawajua kwa majina na Grand Lodge zao ziko openly!.

Hapa Tanzania kuna members wa Rosea Crusis wanaitwa rosecrusians hata kuwajua huwezi, Grand Lodge yao iko secret place maeneo ya Upanga, hawa ndio wenye real dark powers, hawafuati principle ya distance and time. Huwezi kuwajua kabisa, Masons ni kama Lions au Rotary clubs tuu!. Hiyo habari ya kunywa damu si kweli ni uzushi tuu.
Mkuu ukitaka kujua ukweli tafuta sababu walizotoa Vatican kupiga marufuku Mkatoliki yeyote kujiunga na hawa jamaa! Sura yao kwa nje wanajifanya watu wa upendo lakini ndani ushetani mtupu.usiombe kuingia mkuu!
 
Bank M ndio bank gani tena?
 
Nimepata taarifa za ndani kutoka Bank M kwamba wamiliki ni mlengo wa Freemason. Mtoa taarifu aliambiwa wanataka damu ya watu.

Mmoja kati ya Wamiliki aliisha shika nafasi ya juu serikalini na pia kuna ushahidi kwamba ni mwanachama wa Rottery ambayo ni tawi la Freemason.

Napata corroboration zaidi kutokana na ushirikiano wa karibu kati ya Rottery na Bank M. Naddhan mtakumbuka kwamba walitangaza hapa Jf kwa pamoja kufanya mbio za ridhaa.

Andy Chande, ambaye anafahamika kuwa ni Freemason wa degree za juu ana uhusiano wa kaibu sana na mmoja wa wamiliki wa Bank M.
Hii Bank M ndiyo ilitumika kuzituliza pesa za EPA na kuziitawanya from there.
 
...hilo liko wazi. Hiyo bank-M ni bank ya kishetani. Ingekuwa ni bank ya kawaida,tungewaone kujihangaisha kutafutatafuta wateja. Kwa miaka yangu minne niliyokuwa chuoni,karibu kila benki ilishawahi kufika kujitangaza pale ili kupata wateja. Hata siku moja sijaona maofisa wa benki hiyo.

Benki ni kama Demu.
Siku zoye demu wa ukweli utamkuta kajituliza tu.

Ila yale mashakunaku mashambenga ndio yanajizurulisha mtaa kwa mtaa, na mengine yanajipanga barabarani kutafuta mabwana
 
Back
Top Bottom