Bank M, full Massonry

Wanabodi, mbona humu jamvini kuna topic ya Freemasons inside out, hayo mambo ya kutaka damu yanatoka wapi?.

Freemasons ni society tuu kama zilivyo Lions na Rotary, hata mimi binafsi najipanga kujiunga na freemasons.
If you are not one already.
 
Hii nimeicopy kwenye website yao, je humo nani ni Masons?

Je Free Mansonry ni ukweli au hisia zaidi kiasi cha watu kuwa na woga wa kutisha (Phobia)

Shareholders


The shareholder/investor profile of Bank M is as follows:

Names of shareholdersNo. of shares heldAmount in TZSStock options for number
of Equity Shares held
Sanjeev Kumar650,000650,000,000.00408,500
Bhaskar Nair650,000 650,000,000.00408,500
Sean Patrick Breslin1,580,4311,580,431,000.00
PRIDE Tanzania Limited515,000515,000,000.00
Africarriers Limited473,632473,632,600.00
Equity & Allied Limited1,980,9001,980,900,800.00
Negus Holdings Limited2,117,0002,117,000,000.00
Noble Azania Investments Limited1,300,0001,300,000,000.00
TOTAL 9,266,874 9,266,874,400.00 817,000





Board of Directors

Hon'ble Nimrod Mkono, the managing partner of Mkono & Co., is the Chairman of the Board of Directors of the Bank. The Corporate Shareholders of the bank are represented by the respective Chairmen of their group holding companies. The Board has representation from prominent Tanzanians as well as non-executive independent outside directors. The following are the members of the board of Directors of the bank.

Hon. Nimrod Mkono M.P.
expand_blue.jpg

Hon. Nimrod Mkono M.P. is the Chairman of the Board of Directors of the bank. One of the leading lawyers in the Eastern African region, Hon. Mkono is the founding partner of Mkono & Co., the largest law firm in the country. Hon. Mkono is also a member of Tanzania's parliament.
Nimrod.JPG



Hon. Iddi Simba
expand_blue.jpg

Hon. Iddi Simba is the Chairman of PRIDE, the largest Micro Finance Company in Eastern Africa. A well known public figure serving on the boards of several large corporations within the region, Hon. Simba has also served as the Minister for Industries of the United Republic of Tanzania.
Iddi.JPG



Fida Hussein Rashid
expand_blue.jpg

Fida Hussein Rashid is the Chairman of the Africarriers Group, which is the largest importer of automobiles in the Eastern African region. The group also has a very big presence in the real estate business and owns one of the largest collections of luxury villas and apartments in the region.
Fida.JPG



Vimal Mehta
expand_blue.jpg

Vimal Mehta is the Chairman of the Negus Group of companies. The group has controlling interest in Serengeti Breweries Limited, the second largest brewing company in Tanzania.
Vimal.JPG



Sean Patrick Breslin
expand_blue.jpg

Sean Patrick Breslin is the founder director of Gissings Limited, a pension advisory firm based in the City of London and regulated by the Financial Services Authority (FSA) of UK.
Sean.JPG



Ramesh Patel
expand_blue.jpg

Ramesh Patel is a leading business personality in Tanzania and is the Chairman of the Automech Group of companies having interests in construction, fabrication and related industries.
Ramesh.JPG
 
Wanabodi, mbona humu jamvini kuna topic ya Freemasons inside out, hayo mambo ya kutaka damu yanatoka wapi?.

Freemasons ni society tuu kama zilivyo Lions na Rotary, hata mimi binafsi najipanga kujiunga na freemasons.



Umeanza umbea wako kama kawaida yako. Ww ujiunge nao kwa qualification gani? Wanapokea member kama cuf? Si kila mtu angejiunga nao??
u
 
Ulimwengu huu wa ushindan?
Benki ni kama Demu.
Siku zoye demu wa ukweli utamkuta kajituliza tu.

Ila yale mashakunaku mashambenga ndio yanajizurulisha mtaa kwa mtaa, na mengine yanajipanga barabarani kutafuta mabwana
 
Sioni firm ya Mkono kwenye Corporate shareholdres, alipataje uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi?
 
Andy Chande, ambaye anafahamika kuwa ni Freemason wa degree za juu ana uhusiano wa kaibu sana na mmoja wa wamiliki wa Bank M
Kwani ndugu,ukiishi na mchawi nyumba moja,ni lazima na wewe uwe mchawi? Tusiwe na imani hafifu ndugu.
Hujasoma andiko linalosema "Niambie rafiki yako ni nani? kisha mi nitakuambia we ni mtu wa namna gani".
 
ni kweli tunayosema lakin tujue hawa mafreemansory watatushinda tu ambao tunjifanya tunapnga,wapo kwny pesa,kansan,ucum ndo usceme ha2japona bado wana jf
 
Naomba kuuliza, hivi Mwananchi wa kawaida kama mimi ninaruhusiwa kufungua akaunti hapo? au mpaka niwe member wa freemason?

hao wamejikita zaidi ktk corporate banking, we na hela zako za madafu nenda kwingine
 
Kwenye hizi sinema za wenzetu huwa kuna facts sometimes,hii nimeicopy kwenye movie ya Illuminat:

'Illuminati si watu wabaya,walikuwa watu muhimu katika Vatican na kanisa katoliki kwa ujumla,walikuwa wana-fizikia, wataalamu wa hesabu,watu majiniasi lakini viongozi wa kanisa(vihiyo) waliwaogopa sana wasomi hawa (kama serikari yetu inavyowaogopa akina Ulimwengu, Shivji,nk) hivyo wakaanzisha njama za kuwaua mmoja mmoja....jamaa (illuminati) kuona hivyo wakaamua kuwa na undegrond movements.' Secret sects nyingi sio za 'wanyonya damu'kama tunavyofanywa kuamini,nyingi ni za watu wema tu. Kuna msemo wa ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya: gaidi, shetani nk.
 
inautata hii bank coz they even never advertise their services....na most of the adverts mfano zilizopo barabara ya coco beach it seems wanadeal na watu wenye mapesa makubwa ya kuhamisha nje ya nchi na sehemu kama hizo ..... may be ni benki ya mafisadi tu...
 
Back
Top Bottom