Bank M: Connecting the dots

Hili libenki BM linaficha jina la mmiliki wake hasa ambaye retired presd. BM, ipo siku itjulikana
 
Reactions: SDG
Sijui Watanzania wamechoka? Naona humu tunajadili kichwa cha habari, "Bank M: Connecting the dots" badala ya kujadili docs zilizowekwa humu na invisible.
 
Reactions: SDG
Are you a mzee? Okay, just click down here:

Bank M: Connecting the dots

Hi report na hasa hasa majina ya wahusika wakuu, inatakiwa yapelekwe kwa Donors, esp EU, ikiwezekana wote wawekewe travel ban, pia kwa hao wakurugenzi wa bank zilizo husika wanatakiwa kuachia ngazi ili kulinda hadhi ya Banking Sector ya Tanzania, Hivi Prf Ndullu ana fanya nini BOT, wakati bank zilizo chini ya mamlaka yake/zake zinaongozwa na Mafisadi.
 
Reactions: SDG
Nchi inaongozwa na CHAMA CHA MAJAMBAZI watupu! Tusubiri mkono wa Mungu tu!
 
Poor we, kweli hii nchi inaliwa na watu wajidai.

I believe soon things will be at right way.
 
Jamani, inabidi tufanye kitu ndio wataamka nawambia. wameshazoea tuanapiga kelele hatuwafuati, tunyanyukeni tukawape onyo. tunakerwa kila kukicha ila hatuadhibu au kuwafuata kuwaambia yamefika mwisho.

kelele ziendelee ila pia tufikiri nini kifanyike kwa vitendo. mimi nimesoma hizo doc za Invisible nikashangaa karibu sh 300bln kutumika kwenye ujenzi ndani ya miezi sita!! haiwezekani kabisa!!! tena NI KIPINDI CHA UNCHAGUZI 2005. ngoja tusuburi ripoti ya auditors wa jengo la twin towers maana hii ni EPA+RICHMOND+IPTL+na zaidi
 
Sijui Watanzania wamechoka? Naona humu tunajadili kichwa cha habari, "Bank M: Connecting the dots" badala ya kujadili docs zilizowekwa humu na invisible.

That's when you'll recall that Mwafrika wa Kike, Yebo Yebo, Kitila Mkumbo and such comrades are needed!
 
Nchi inaongozwa na CHAMA CHA MAJAMBAZI watupu! Tusubiri mkono wa Mungu tu!

Tusimsubiri Mungu pekee, ametupa akili, nguvu etc. yaliyo ndani ya uwezo wetu yafanyike
 
Sijui Watanzania wamechoka? Naona humu tunajadili kichwa cha habari, "Bank M: Connecting the dots" badala ya kujadili docs zilizowekwa humu na invisible.







Lazima utumie lugha maalum uweze kuzungumza na mafisadi. Wajumbe hapo juu wamewasilisha lugha mbili tayari.

Tunahitaji fund kiasi gani ili kutuwezesha kutayarisha documentary film (Michael Moore's style)? Any other ideas?
 
Wakati nalitafakari hili nimekumbuka documentary mbili:
  • Hubert Sauper na saga la Mapanki (Darwin's Nightmare)
  • Vicky Ntetema na saga la Albino
 
Reactions: SDG
Jamani, kama Tanzania ya sasa kazi yake itakuwa tu kuangalia madhambi yaliyopita, basi hakuna maendeleo yatayopatikana kwani muda wote wa serikali na wananchi utakuwa "diverted" toka kushughulikia maendeleo na badala yake kushughulikia "scandals". Lazima tufike mahali ambapo tuweke "cut-off point" na tu "focus" kwenye mandeleo.
 
mkuu invisible
kuna hili nilionyeshwa tu nikakatiliwa kuichukua hii docs
ile BANK M iko pale pembeni ya jumba la MKAPA..NA NIMEONYESHWA
MKATABA WA KODI YAKE WANAMLIPA MAMA ANNA MKAPA DOLLER 1800
ZA KITANZANIA KWA MWEZI...NA ANAESAINI NI MAMA ANNA MKAPA
SASA HII NCHI WATU WAMMEKAA KIMYA ZIIIIIIIIII HAYA KAKA MUNGU AKUJALIE KWENYE
HAYA MAPAMBANO NATUMAINI HATA KAMA SI LEO BASI VITUKUU VYETU VITASHUHUDIA USHINDI WA MPAMBANO HUU
 
Mimi nina hasira na hawa watu lakini kila nikitafuta jinsi ya ku deal nao nashindwa kabisa.ni kama tayari maradhi yasiyopona yameingia na dawa ya tiba hakuna...ila kubaki nalia na maumivu!

Wameshika kila turufu!
 
Jamani,kuna hii bank ya Bank M, nafikiri ya kina mkono, hivi anayemiliki ni nani, naomba tueleweshane manake sisi wengine humu hatuijui hii bank vizuri. wengine huwa wanasema fisadi ambaye alishawahi kukamatwa hata kipindi cha nyerere Jeetu ni share holder mkubwa mle, na mengine mengi. naomba mwenye idea kuhusu hii atueleze ili sisi wengine tuelewe. kama ni bank halali ya watu wasafi jamani tuisapoti, lakini kama ni ya kifisadi,let's discuss about it. wezi wote tanzania lazima waishe. thanks. nawakilisha wajameni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…