Bank M: Connecting the dots

Bank M: Connecting the dots

lini haya mambo yataisha Tanzania? kwanini watu hawana huruma na watanzania?
 
Sema wewe...manake wengine tushajikatia tamaa.....wanatafuniwa lakini hata kumeza wanaona tabu coz wamejioteshea matonsilitis kooni......yaani wananiboa kufa.

Nina hasira sana na hawa watu yaani we acha tu!
 
Ungetulia kama sekunde moja tu nina uhakika ungepata jibu kana tuna serikali au la.
Ndio maana watawala wanatumia muda mwingi na rasilimali ili mtu asiyefahamu vizuri mtandao wao asitie maguu yake madarakani!


Sidhani kama nimekuelewa!
 
Inabidi tuliwajibishe Bunge kwa kushndwa kuibana serikali iikatoa maelezo toshelezi ya hii ishu
 
Fukua makabur.
Hivi Mkono yupo Dodoma?
 
Back
Top Bottom